YAIBONDA TUNISIA 4-1,
...NI REKODI, NI MARA YA 6 FANAILI ZA KOMBE LA DUNIA
CAMEROUN leo huko Yaounde wameibonda Tunisia Bao 4-1 na kuwa Nchi ya 3 toka Afrika,
kufuatia Jana Nigeria na Ivory Coast, kufuzu kwenda Brazil Mwakani kucheza Fainali za Kombe la Dunia.
kufuatia Jana Nigeria na Ivory Coast, kufuzu kwenda Brazil Mwakani kucheza Fainali za Kombe la Dunia.
MAGOLI:
Cameroon 4
-Pierre Webo Dakika ya 4
-Benjamin Moukandjo 30
-Jean Makoun 66 & 86
Tunisia 1
-Ahmed Akaichi 51
Hii ni mara ya 6 kwa Cameroun kucheza
Fainali za Kombe la Dunia na mara nyingine zikiwa Miaka ya 1982, 1990,
1994, 1998, 2002 na 2010 ambayo ni Rekodi kwa Afrika.
AFRIKA
RATIBA/MATOKEO:
Marudiano:
Jumamosi Novemba 16
Nigeria 2 Ethiopia 0
[Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili 4-1]
Senegal 1 Ivory Coast 1
[Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili 2-4]
Jumapili Novemba 17
Cameroon 4 Tunisia 1
[Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili 4-1]
[Saa za Bongo]
[Katika Mabano Matokeo Mechi za Kwanza]
Jumanne Novemba 19
19:00 Egypt v Ghana [1-6]
21:15 Algeria v Burkina Faso [2-3]
Kmbuka bado timu mbili 2 kufuzu kwenda brazil katika kombe la dunia












0 comments:
Post a Comment