Thursday 28 November 2013

MUWA KILISHI ABAKWA NYUMBANI KWAKE

HALI ya taharuki ilitanda zaidi katika Kaunti ya Pokot Magharibi nchini Kenya, baada ya mwakilishi wa wadi kubakwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.

Kamishna wa kaunti hiyo, Bw Peter Okwanyo alithibitisha kisa hicho na kusema kuwa mwakilishi huyo wa kaunti alibakwa Jumatano usiku: “Tumepokea ripoti kuwa mtu asiyefahamika alivamia nyumbani kwa mwakilishi huyo wa wadi na kumdunga dawa aina ya Celestamine kabla ya kumfanyia unyama huo,” akasema Bw Okwanyo.

Alisema kuwa tayari maafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi wao ili kuwanasa wahusika wa ubakaji huo na kuongezea kuwa mwathiriwa alikimbizwa katika hospitali ya kaunti ndogo ya Kapenguria kwa ajili ya matibabu. habari hii kwa hisani ya  SwahiliHub.com

Akina Zitto kukabidhiwa barua
Isaac Chanzi
Toleo la 327
27 Nov 2013
Dk Slaa na John Mnyika
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewakabidhi rasmi barua za kuitwa kujitetea mbele ya kamati kuu ndani ya siku 14, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto na mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Kitila Mkumbo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini jana Jumanne, makao makuu ya chama hicho, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika, alisema Jumatatu wiki hii sekretarieti ya chama hicho ilikutana na kuwaandikia barua wahusika.
Alisema kikao hicho cha sekretarieti kilichoketi Jumatatu katika kujadili kabla ya kuwaandikia barua zao hizo walizingatia mambo ya msingi ya katiba, maadili na itifaki ya chama hicho ambayo ndiyo msingi mkuu wa kiongozi yeyote wa chadema anatakiwa kuzingatia na kuifuata wakati wote.
Aliongeza kuwa katika barua hizo ambazo wamewakabidhi jana Jumanne kila mmoja ameshtakiwa mbele ya kamati kuu ya chama hicho jumla ya makosa 11 ya kujitetea kwa nini wasifukuzwe uanachama kutokana na makosa yanayowakabili.
Akizungumzia kuhusu uamuzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA iliyofanya kikao chake jijini Dar es Salaam kwa siku mbili kwamba ulizingatia katiba, kanuni na itifaki ya chama hicho na si upotoshaji unaoendelea kuenezwa kwa sasa na walifukuzwa uongozi.
Kwa upande wake Mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye alishirikiana kwa pamoja kujibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari alisema washtakiwa hao wakishindwa kujitetea makosa hayo 11 uamuzi gani utachukuliwa alijibu kwa kifupi tutavuka mto tutapoufikia.
Kadhalika alisema kuwa washtakiwa Zitto, Dk Kitila na Samson Mwigamba kwa sasa wamekuwa wakiendelea kutapatapa kwa ueneza uongo lengo lao kubwa likiwa kutaka kuomba huruma za umma na si vinginevyo/
“Kamati Kuu ya chama chetu haikuwafukuza uongozi kwa taarifa za uongo wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wala walivyouza majimbo ya uchaguzi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010,” alisema Lissu.
Alisisitiza kuwa wote waliokuwa viongozi wa CHADEMA wamefukuzwa uongozi kwa vitendo vyao vya kukiuka maadili ya chama na si kama ambavyo wanavyoendelea kueneza upotoshaji huku wakitaka huruma ya umma.
Zitto pamoja na viongozi wengine wawili wa CHADEMA, Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walivuliwa nyadhifa zao na Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya kubainika kupanga mbinu za uasi, kupitia waraka ambao ulikuwa ukieleza mkakati wa kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani.
Pamoja na mambo mengine chama hicho pia kimetangaza rasmi ratiba ya uchaguzi wa ndani kuanzia Novemba 22 hadi Desemba 14 mwaka huu kwa vitongoji vyote na baadaye itafuatia ngazi ya kata, wilaya na taifa.
Tundu Lissu tena
Katika hali inayoashiria Zitto Kabwe na Kitila kuweza kufukuzwa kabisa kwenye chama hicho, Tundu Lissu alisema CHADEMA haijaanza kufanya uamuzi mgumu leo na ilikwishafanya hivyo kwa Dk Walid Kaburu na kwa Chacha Wangwe.
Kwa mujibu wa Lissu, mara zote walipofanya uamuzi huo aliouita sahihi, vyombo vya habari vilikuwa vikiandika kuwa CHADEMA yapasuka, mara CHADEMA inakufa lakini kipindi chote haijawahi kufa wala kupasuka na hata kwenye hili haitakufa kama ikitokea kamati ikiwafukuza.
Lissu alisema kuwa Kitilla amepotosha kuwa kamati kuu haina mamlaka ya kumvua yeye nafasi yake ya ujumbe wa kamati kuu maana amechaguliwa na baraza kuu.
Alisema Zitto alipaswa kumkumbusha rafiki yake maana yeye (Zitto) alikuwepo kwenye kamati kuu iliyomvua ukatibu mkuu Dk. Walid kaburu na Makamu Mwenyekiti Bara, marehemu Chacha Wangwe, akihoji kama iliweza kwa Kaburu na Chacha Wangwe (Katibu mkuu na Makamu mwenyekiti) imeweza na kwake pia ambaye hana vyeo hivyo, na kwa hiyo aache kupotosha umma kwa makusudi.
Kuhusu vurugu za kuchana bendera mkoani Kigoma, alisema kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chama hicho imewasiliana na viongozi wa chama Kigoma na watatoa taarifa
- See more at: http://www.raiamwema.co.tz//akina-zitto-kukabidhiwa-barua#sthash.KRPxaTmW.dpuf

IPUNGUZE MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Masoko ,kijiji cha Lupando wilaya ya Rungwe ,Katibu Mkuu waliwaambia wananchi hao kuwa urasimu na umangi meza wa watendaji wa serikali ndio unachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha maendeleo yao nyuma na kusema kamwe CCM haitokubali hali hiyo iendelee na kusisitiza CCM itahakikisha wananchi wanapata haki zao za msingi kwanza.
 Mwakilishi wa Wananchi wa Kijiji cha Lupando Ndugu Wema Mwaipopo akiomba sana kwa niaba ya wananchi wake watatuliwe suala la maji,umeme na barabara kwani hizo ndio zilikuwa ahadi kubwa za Mbunge na Rais.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Masoko kijiji cha Lupando na kuwaambia wananchi kuwa wapinzani ni sawa na Jogoo hata aamke saa ngapi hawezi fungua mlango,na kuwasisitiza wananchi wa kijiji hicho ni CCM pekee inayoweza kuwazungumzia na kero zao zikatatuliwa.
 Asumwisi Asagwile Mwatebela ,Mlezi wa Vijana wa Chadema wilaya ya Rungwe akirudisha kadi yake kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kujiunga rasmi na CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kiwira Rungwe na wakati wa ufunguzi wa vikundi viwili vya wajasiriamali ambapo aliwaambia vijana maendeleo yanaletwa kwa kufanya kazi kwa kujituma na waondoe mawazo kuwa Katiba mpya ndio itakuwa mwarobaini wa matatizo yao.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia maabara ya shule ya Sekondari ya Ikuti ikiwa moja ya sehemu ya ahadi ya serikali ya kujenga maabara katika kila shule ya Sekondari ya Kata.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Nyumba za walimu wa shule ya Sekondari Ikuti wilayani Rungwe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akiongozana na Mkuu wa Shule ya Ikuti Ndugu Emmanuel Ngasa pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali baada ya kukagua jengo la hosteli la shule ya sekondari ya Ikuti.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa shina namba 2,Butonga Tawi la Ikuti kwa Balozi James Mbasi, na kusisitiza viongozi wote wa CCM waige mfano wa Mabalozi kwani wanafanya kazi kwa kujitolea katika kukiimarisha na kukijenga chama.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahama Kinana akikata utepe kama ishara ya kuwasha umeme katika kituo cha Afya cha Ikuti wilayani Rungwe.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi wa wilaya ya Rungwe pamoja na wananchi kuelekea kwenye uwanja wa mkutano Ikuti.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya Ndugu Richard Kasesela akipiga ngoma ya Kitongo kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ikuti ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Mbunge wa Viti Maalum Wananwake mkoa wa Mbeya Dk.maru Mwanjelwa akicheza ngoma  kabala ya kuanza kwa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Ikuti ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wa kitaifa aliofutana nao Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro na Katiibu wa NEC Itikadi na Uenezi walihutubia.
 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Dk.Mary Mwanjelwa akihutubia wakazi wa kata ya Ikuti na kuwaambia wanawake waandae vikundi vyao kwani Benki ya wanawake karibia itafunguliwa hivyo fursa za kupata mikopo zitaongezeka na kusaidia kufanya biashara kwa ufanisi na kuleta maendeleo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ikuti wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya na kusema serikali ipunguze matumizi yasiyo na lazima na badala yake nguvu nyingi iletwe kwa wananchi katika kuwaletea maendeleo.
 Wakazi wa Ikuti wakiwa juu ya mti wakisikiliza kwa makini hotuba za viongozi wao ambazo nyingi zilijibiwa vizuri hasa suala la umeme ambalo wananchi wanaweza kulipa kidogo kidogo.
Dk.Mary mwanjelwa akizungumza na akina Mama wauza ndizi wa kijiji cha Iponjola kata ya Rufingo wilaya ya Rungwe na kuwataka waanzishe vikundi kwani benki ya wanawake ipo karibuni kufunguliwa katika mkoa wa Mbeya hivyo itawasaidia kupata mikopo kwa riba nafuu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alisimama kuwasalimu wakina mama hao kisha kuutambulisha uongozi wote aliokuwa nao kwenye msafara.

0 comments: