Thursday 21 November 2013

CHALENJI CUP-KENYA 2013: RATIBA YATOKA LEO ANGALIA HAPA

KILI STARS KUANZA NA ZAMBIA, ZANZIBAR KUIVAA SOUTH SUDAN!
KILI_MABINGWACECAFA CHALENJI CUP, Kombe la kusaka Nchi Bingwa ya Afrika ya Mashariki na Kati, linaanza huko Nchini Kenya Jumatano Novemba 27 kwa Nchi 12 kushindana.
Nchi hizo zimegawanywa Makundi matatu ya Nchi 4 kila moja ambapo Washindi wawili wa kila Kundi watatinga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili Bora.
Katika Nchi hizo 12 zinazoshiriki, 11 ni Wanachama wa CECAFA, Shirikisho la Soka kwa Nchi za Afrika ya Mashariki na Kati, na moja, Zambia, ni Wageni waalikwa wa michuano hii ya Mwaka huu.

Bingwa Mtetezi wa Chalenji Cup ni Uganda ambao walitwaa Kombe Mwaka Jana lilipochezwa Nchini kwao kwa kuifunga Kenya Bao 2-1 katika Fainali.
Tanzania itawakilishwa na Timu mbili, yaani Kilimanjaro Stars, ambayo ni Tanzania Bara, na Zanzibar Heroes, Timu ya Zanzibar.

Kili Stars wapo Kundi B na wataanza hapo Alhamisi Novemba 28 kwa kucheza na Zambia wakati Zanzibar wao wanaanza Jumanne Novemba 27 kwa kucheza na South Sudan.

MAKUNDI:
Kundi A
KUNDI B
KUNDI C
-Kenya
-Ethiopia
-Zanzibar
-South Sudan

-Tanzania Bara
-Zambia
-Burundi
-Somalia
-Uganda
-Rwanda
-Sudan
-Eritrea
**FAHAMU: Timu mbili za Juu kila Kundi zitasonga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili Bora.
RATIBA:
TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
SAA
Jumatano Novemba 27
1
Zanzibar v South Sudan
A
Nyayo
1400


2
Kenya v Ethiopia
A
Nyayo
1630
Alhamisi Novemba 28
3
Burundi v Somalia
B
Machakos
1400


4
Tanzania Bara v Zambia
B
Machakos
1600
Ijumaa Novemba 29
5
Sudan v Eritrea
C
Machakos
1400


6
Uganda v Rwanda
C
Machakos
1600
Jumamosi Novemba 30
7
Ethiopia v Zanzibar
A
Nyayo
1400


8
South Sudan v Kenya
A
Nyayo
1600
Jumapili Desemba 1
9
Somalia v Tanzania
B
Nyayo
1400


10
Zambia v Burundi
B
Nyayo
1600
Jumatatu Desemba 2
11
Sudan v Rwanda
C
Machakos
1400


12
Eritrea v Uganda
C
Machakos
1600
Jumanne Desemba 3
13
South Sudan v Ethiopia
A
Machakos
1400


14
Kenya v Zanzibar
A
Machakos
1600
Jumatano Desemba 4
15
Tanzania v Burundi
B
Nyayo
1400


16
Somalia v Zambia
B
Nyayo
1600
Alhamisi Desemba 5
17
Rwanda v Eritrea
C
Nyayo
1400


18
Uganda v Sudan
C
Nyayo
1600
Ijumaa Desemba 6


MAPUMZIKO










ROBO FAINALI 






Jumamosi Desemba 7
19
C1 v B2


Mombasa
BADO


20
A1 v 3 BORA 1


Mombasa
BADO
Jumapili Desemba 8
21
B1 v 3 BORA 2


Mombasa
BADO


22
A2 v C2


Mombasa
BADO
Jumatatu Desemba 9


MAPUMZIKO






Jumanne Desemba 10


NUSU FAINALI








23
Mshindi 19 v Mshindi 20




BADO


24
Mshindi 21 v Mshindi 22




BADO
Jumatano Desemba 11


MAPUMZIKO






Alhamisi Desemba 12
25
Mshindi wa Tatu




1400


26
FAINALI




1600

0 comments: