MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Tuesday 31 December 2013

MWAKA MPYA WA ANZA VIBAYA MKOANI IRINGA KWA AJARI MBAYA NI DAKIKA 20 BAADA MWAKA MPYA

 
Hii ni ajali mbaya ya  piki piki iliyotokea  eneo la  Ilala katika Manispaa ya  Iringa  ikiwa ni dakika 20 baada ya  kuaga mwaka  2013 na kuukaribisha  mwaka  2014 
Hawa ni majeruhi wa ajari hiyo kushoto ni dereva wa  boda boda JOseph Nyegele na kulia ni abiria  wake ambae hajitambui kabisa
Hii  ndio  hali halisi ya ajali  hiyo mguu ukiwa  umechakaa vibaya
Wasamaria  wema  wakisaidia  kushusha majeruhi ambao wamepata ajali ya pikipiki  wakati wakiuanga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014  Usiku wakuamkia leo mjini Iringa

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UTAMADUNI NA HABARI ATEMBELEA TBC

 
IMG_9167 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam,waliokaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw.Assah Mwambene na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
IMG_9183 
Fundi wa Zamu katika chumba cha kurushia matangazo Bi.Rehema Lugosi akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga ya jinsi wanavyofanya kazi katika eneo hilo, wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_9192Mhandisi Richard Mgema akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga ya jinsi mitambo hiyo inavyofanya kazi na kuwezesha urushwaji wa matangazo, wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_9200Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana akimuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga Kifaa cha kusomea habari(teleprompter), Mwenye suti nyeusi ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw.Assah Mwambene, wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_9206 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga(aliyekaa) katika studio ya TBC Taifa

PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO

UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA BENK ZA KIISLAM ZANZIBAR

DSC_0913 (1)
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na Tawi Jipya huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.DSC_0915 (1)  
Mwananchi akipatiwa huduma katika Benki ya Kiislamu baada ya kuzinduliwa huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.DSC_0928 (1)  
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitia saini baada ya Kujiunga katika Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
.DSC_0974 (1)  
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee na kushoto yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya kiislam Juma Amour.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

DK SHEIN ATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA 2014

TA1A5701 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za mwaka mpya wa 2014 kwa wananchi wa Zanzibar,pia amewataka wananchi kudumisha Umoja na kulinda amani na Utulivu uliopo ,salamu hizo alizitoa jana Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

TMA YASEMA KUWA KUANZIA JANUARI HADI MACHI MVUA ZITAKUWA WASTANI KUSINI MWA NCHI


KIjazi1_6d264.jpg


Mamlaka ya hali hewa Tanzania imesema kuwa kwa kipindi cha kuanzia mwezi wa Januari hadi Machi 2014 mvua zinatarajiwa kuwa za wastani kwa upande wa kusini mwa Nchi na juu wastani katika maeneo ya kati na magharibi mwa Nchi.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dr. Agnes Kijanzi wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya tathmini na mwelekeo wa mvua nchini kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014.
Dr. Kijanzi aliongeza kuwa mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka yanatarajiwa kupata mwendelezo wa mvua za nje ya msimu katika mwezi Januari na Februari 2014.
Alisema kuwa mvua zinazoendelea kunyesha zitakuwa katika maeneo ya kanda ya Magharibi na kanda ya Kati zitaanzia wastani hadi chini ya wastani.(P.T)
Mkurugenzi Mkuu huyo aliongeza kuwa kwa upande wa Nyanda za juu Kusini Magharibi na Kanda ya Kusini na Pwani ya Kusini mvua zinatarajiwa kuwa juu hadi juu ya wastani isipokuwa Mkoa wa Lindi ambapo zitakuwa za wastani hadi chini ya wastani.
Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dr. Agnes Kijanzi amesema kuwa hali ya malisho na maji kwa ajili ya mifugo na wanyamapori inatarajiwa kuimarika katika maeneo mengi yanayopata mvua mara moja kwa mwaka.
Aliongeza kuwa katika maeneo yale yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka hayatakuwa na ongezeko la maji na malisho na hivyo wafugaji wanashauriwa kutumia maji kwa uangalifu. 
Na Kiza Sungura-MAELEZO-Dar es salaam