MMOJA AJERUHIWA VIBAYA ....
| Waombolezaji wakiwa katika msiba huo eneo la Mtwivila |
| Mume wa marehemu Bw Hamza Kidava na mtoto wake wakitoa heshima za mwisho kabla ya mazishi |
| mwili wa marehemu Doris Lyandala |
| Aliyekuwa mume wa marehemu Doris Lyandala Bw Hamza Kidava kushoto akiwa na rafiki zake nyumbani kwao Mtwivila leo |
| Bw Hamza Kidava akionyesha eneo ambalo mke wake kipenzi alipouwawa kwa kuchomwa visu na mtu anayesadikika kuwa ni kichaa |
| Bw Hamaza kushoto akimwonyesha mwandishi wa mtandao huu mzee wa matukio daima hayupo pichani na Bw Brown eneo ambalo mke wake aliuwawa |












0 comments:
Post a Comment