HOME »
» MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA MUAJIRI BORA WA MWAKA 2013
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri
Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Rashid
Nassoro, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye
Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri
Bora wa mwaka 2013, Meneja wa Sera wa CCBRT, Frederick Msigala, wakati
wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya
Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri
Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya simu za mkononi
ya Airtel, Francis Ndenje, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam,
jana usiku. Picha na OMR(P.T)
0 comments:
Post a Comment