Tuesday 19 November 2013

MCHUNGAJI KANISA LA PENTEKOSTE HOLLINESS ADAIWA KUBAKA WANAFUNZI KWA ZAMU

   
VIBINTI HIVI VINADAIWA KUBAKWA KWA ZAMU NA MCHUNGAJI WA KANISA LA PENTEKOSTE 

 

Baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Maendeleo wakizungumza kwa hisia tukio hilo la ubakaji lililofanywa na Mchungaji 

 MCHUNGAJI wa Kanisa la Pentekoste aliyefahamika kwa jina la Bryson Mwaikambo (55) anatuhumiwa kuwabaka na kuwaambukiza ugonjwa wa zinaa wanafunzi wawili wa kike wanaosoma katika shule ya msingi ya Maendeleo wa  kata ya Nsalala wilaya ya Mbeya vijiji mkoani Mbeya.

Wanafunzi hao (majina yanahifadhiwa) wenye umri kati ya miaka 11 na 13 wanaosoma darasa la nne na darasa la sita walifanyiwa unyama huo kuanzia mwaka 2012 ambapo Mchungaji huyo alianza kujenga mazoea na watoto hao wadogo kwa kuwapa peremende  pamoja  na fedha....

‘“Tumejua tukio hili baada ya kutokea ugomvi baina yao wa kugombania maji na hivyo kuanza kurushiana maneno, mmoja wa watoto hao alikuja ofisini kushitaki kuhusu ugomvi wao ndipo mmoja akasema kuwa mwenzie anatembea na Mchungaji Mwaikambo,’’ alisema Mwalimu mkuu msaidizi Bi. Lucy Kamongile....  


Bofya hapa kusoma habari hii kwenye blogu ya Mkwinda

 

0 comments: