| Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mbeya Mhandisi Deogratius Moyo akizungumza machache kuhusiana na maadhimisho ya sherehe za miaka 10 ya TCRA Mkoan wa Mbeya. |
| Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mbeya Mhandisi Deogratius Moyo akitoa mada katika maadhimisho haya |
| Wanahabari na wadau hawakuwa mbali katika kilele hicho |
| Mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa sherehe hizo. Kwahisani yaNa Mbeya yetublog |












0 comments:
Post a Comment