NI MCHEZAJI WA PILI KUMSAINI DIRISHA DOGO LA USAJILI!
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, wamethibitisha kumsaini Kiungo kutoka Ruvu Shooting, Hassan Saleh Dilunga, kwa Mkataba wa Miaka mitatu.
Dilunga ni Mchezaji wa pili kusainiwa na
Yanga katika Dirisha la Usajili lililofunguliwa rasmi leo Novemba 15 na
litadumu hadi Desemba 15 na Mchezaji mwingine ni Kipa Juma Kaseja ambae
alikuwa Mchezaji huru baada ya kumaliza Mkataba wake na Simba.
Akithibitisha Usajili huu wa Dilunga,
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Abdallah Bin Kleb, amesema
usajili huu ni kutekeleza maagizo ya Kocha Mkuu Ernie Brandts, ambae
sasa yuko Likizo fupi huko kwao, aliyoyaacha kabla kwenda Mapumziko.
Bin Kleb amesema: "Kocha aliacha
mapendekezo ya usajili tuyafanyie kazi la kwanza lilikuwa ni kuhakikisha
tunampata Juma Kaseja kwa ajili ya kuongeza nguvu katika nafasi ya
Makipa ambalo tulilikamilisha mwishoni mwa Wiki na sasa tumelimaliza la
Kiungo Hassan Dilunga"
Hadi sasa Yanga ndio Vinara wa Ligi Kuu Vodacom baada ya kukamilika Raundi ya Kwanza na Raundi ya Pili itaanza hapo Januari 25.
LIGI KUU VODACOM
MSIMAMO:
NO
|
TEAMS
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
Young Africans |
13
|
8
|
4
|
1
|
31
|
11
|
20
|
28
|
2
|
Azam FC |
13
|
7
|
6
|
0
|
23
|
10
|
13
|
27
|
3
|
Mbeya City |
13
|
7
|
6
|
0
|
20
|
11
|
9
|
27
|
4
|
Simba SC |
13
|
6
|
6
|
1
|
26
|
13
|
13
|
24
|
5
|
Kagera Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
15
|
10
|
3
|
20
|
6
|
Mtibwa Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
19
|
17
|
2
|
20
|
7
|
Ruvu Shootings |
13
|
4
|
5
|
4
|
15
|
15
|
0
|
17
|
8
|
Coastal Union |
13
|
3
|
7
|
3
|
10
|
7
|
3
|
16
|
9
|
JKT Ruvu |
13
|
5
|
0
|
8
|
10
|
16
|
-6
|
15
|
10
|
Rhino Rangers |
12
|
2
|
4
|
6
|
9
|
16
|
-7
|
10
|
11
|
JKT Oljoro |
13
|
2
|
4
|
7
|
9
|
19
|
-10
|
10
|
12
|
Ashanti United |
13
|
2
|
4
|
7
|
12
|
24
|
-12
|
10
|
13
|
Tanzania Prisons |
12
|
1
|
5
|
6
|
6
|
16
|
-10
|
8
|
14
|
Mgambo JKT |
13
|
1
|
3
|
9
|
3
|
23
|
-20
|
6
|
RATIBA
RAUNDI YA PILI
25 Januari 2014
Ashanti United v Yanga
Azam FC v Mtibwa Sugar
Coastal Union v JKT Oljoro
Kagera Sugar v Mbeya City
Tanzania Prisons v Ruvu Shootings
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers
CHANZO soka inbongblog
Friday, 15 November 2013
0 comments:
Post a Comment