CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo wa kiti cha unaibu Meya wa Jiji la Arusha.
Mgombea wa CHADEMA, Diwani wa Daraja Mbili, Prosper Msofe, alichaguliwa kushika nafasi hiyo, baada ya kupata kura 25, kati ya kura 28, huku mbili zikisema hapana, na moja ikiharibika.
Chama cha Mapinduzi (CCM) hakikusimamisha mgombea, huku TLP yenye Diwani mmoja, Michael Kivuyo aliyetangaza kugombea aliamua kujitoa kabla uchaguzi kufanyika. ---

chanzoLukwangule blog.
0 comments:
Post a Comment