Sunday 17 November 2013

ALIYEKUA MENEJA WA KAMPUNI YA MeTL TAWI LA IRINGA ANATFUTWA KWA TUHUMA ZA WIZI


 
Kampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Makao Makuu inatangaza kwa umma wa Watanzania kwamba Meneja wa MeTL tawi la Iringa Mr Aamir Iqbal anatafutwa na mwajiri wake kwa kosa la wizi.

Mr Iqbal (pichani juu) aliyekuwa Meneja wa tawi la MeTL Iringa anatuhumiwa kumwibia mwajiri wake mamilioni ya pesa. Tukio hilo lililotokea jana mchana Iringa limeripotiwa Kituo Kikuu cha Polisi Iringa na RB ya Polisi ni ref no. IR/RB/7229/2013.
Ikiwa una taarifa zozote kumhusu mtu huyu, tafadhali piga simu namba: 0755 030 014 , 2118930/1, 0713 324 332, 0715 030 024 au zitoe katika kituo chochote cha Polisi.

Kampuni ya MeTL Group itatoa zawadi nono kwa yeyote atayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwake.

Source:  www.wavuti.blog

0 comments: