Sunday 24 November 2013

HII NDIO TAARIFA KUHUSU DK JUMA MALIKI /MALICK

Kwenye blogu ya Issa Michuzi kuna taarifa ifuatayo:
Dr Malick A. Juma gone missing in Nairobi

We have just received news that Dr. Malick A. Juma who is the Executive Director at the Ministry of Health in Zanzibar has gone missing. Dr. Malick was in Nairobi attending a meeting and was supposed to be back in the country today. Efforts have been made to reach our Embassy in Nairobi to assist in knowing the whereabout of Dr. Malick. On that same note the Management at the Hotel where he was staying do not have any solid leads of his whereabouts and now there are  searching his room to see if he left behind any of his belongings.
Kwenye blogu nyingine, kuna taarifa hii:
Huyu ni Mtanzania aliyevamiwa huko Nairobi na kuumizwa vibaya hapo jana na amejitambulisha kwa polisi waliomuokota kama Dk. Juma Maliki. Tunapenda kuwaomba yeyote anayemfahamu awasiliane na na ndugu zake maana ana hali mbaya na hakuna aliyejitokeza kumtambua. Amelazwa Kenyatta National Hospital, kwa sasa hawezi kuongea. Hakuna taarifa zaidi ya hizi.

0 comments: