Saturday, 2 November 2013

ANGALIA ARSENAL ALIVYO ICHAPA LIVERPOOL 2-0!! YAJIKITA KILELENI POINTI 5 MBELE!!

 
USIKU huu, Arsenal wameonyesha nia yao ya kutwaa Kombe la kwanza tangu 2005 walipoifunga Liverpool Bao 2-0 Uwanjani Emirates na kupaa kileleni mwa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 5 mbele.

 
NOVEMBER O2
MATOKEO MENGINE 
Newcastle     2 Chelsea 0
Fulham 1      Man United 3
Hull 1              Sunderland 0
Man City 7      Norwich 0
Stoke 1            Southampton 1
West Brom 2     Crystal Palace 0
West Ham 0     Aston Villa 0
Arsenal 2           Liverpool 0
 XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
WENGER-BANGO_SPENDBao za Arsenal zilifungwa na Santi Cazorla, Dakika ya 9, na Aaron Ramsey, Dakika ya 59.
Mechi ijayo ya Ligi kwa Arsenal ni ya Ugenini huko Old Trafford Jumapili Novemba 10 watakapocheza na Mabingwa Watetezi ManchesterUnited.
VIKOSI:
Arsenal: Szczęsny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Rosický, Arteta, Ramsey, Cazorla, Özil, Giroud.
Akiba: Fabiański, Vermaelen, Monreal, Jenkinson, Hayden, Akpom, Bendtner.
Liverpool: Mignolet, Flanagan, Cissokho, Touré, Škrtel, Sakho, Lucas, Gerrard, Henderson, Suárez, Sturridge.
Akiba: Jones, Coutinho, Moses, Kelly, Allen, Agger, Sterling.
Refa: Martin Atkinson

MSIMAMO-Timu za Juu:
1 Arsenal Mechi 10 Pointi 25
2 Chelsea Mechi 10 Pointi 20
3 Liverpool Mechi 10 Pointi 20
4 Man City Mechi 10 Pointi 19
5 Southampton Mechi 10 Pointi 19
6 Tottenham Mechi 9 Pointi 19
7 Everton Mechi 9 Pointi 18
8 Man United Mechi 10 Pointi 17
9 NewcastleMechi 10 Pointi 14
10 Hull Mechi 10 Pointi 14
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

MECHI ZIJAZO:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
[Saa za Bongo]
Jumapili Novemba 3
13:30 Everton v Tottenham
16:00 Cardiff v Swansea
Jumamosi Novemba 9
18:00 Aston Villa v Cardiff
18:00 Chelsea v West Brom
18:00 Crystal Palace v Everton
18:00 Liverpool v Fulham
18:00 Southampton v Hull
20:30 Norwich v West Ham
Jumapili Novemba 10
15:00 Tottenham v Newcastle
17:05 Sunderland v Man City
19:10 Man Utd v Arsenal
19:10 Swansea v Stoke
Jumamosi Novemba 23
15:45 Everton v Liverpool
18:00 Arsenal v Southampton
18:00 Fulham v Swansea
18:00 Hull v Crystal Palace
18:00 Newcastle v Norwich
18:00 Stoke v Sunderland
20:30 West Ham v Chelsea
Jumapili Novemba 24
16:30 Man City v Tottenham
19:00 Cardiff v Man Utd
Jumatatu Novemba 25
23:00 West Brom v Aston Villa
Jumamosi Novemba 30
18:00 Aston Villa v Sunderland
18:00 Cardiff v Arsenal
18:00 Everton v Stoke
18:00 Norwich v Crystal Palace
18:00 West Ham v Fulham
20:30 Newcastle v West Brom
Jumapili Desemba 1
15:00 Tottenham v Man Utd
17:05 Hull v Liverpool
19:10 Chelsea v Southampton
19:10 Man City v Swansea
Jumanne Desemba 3
20:00 Crystal Palace v West Ham
Jumatano Desemba 4
22:45 Arsenal v Hull
22:45 Liverpool v Norwich
22:45 Man Utd v Everton
22:45 Southampton v Aston Villa
22:45 Stoke v Cardiff
22:45 Sunderland v Chelsea
22:45 Swansea v Newcastle
23:00 Fulham v Tottenham
23:00 West Brom v Man City

0 comments: