Wachambuzi mbalimbali wa masuala ya soka wa nchini England wamemshukia Kocha wa Chelsea Jose Mourinho na kumuambia kwa kikosi alichonacho sasa, suala la ubingwa halitakuwa na mjadala kwake.
Wamesisitiza iwapo atakosa ubingwa, hatakuwa na sababu hata chembe ya kulalama au kusema ilichangia yeye kutotwaa ubingwa.
0 comments:
Post a Comment