KLABU ya Liverpool itakwenda Miami kupambana na wapinzani Manchester United Jumatatu kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya AC Milan mjini Charlotte.
Mabao ya Joe Allen na Suso yameifanya timu ya Brendan Rodgers ishinde mechi ya tatu katika Kombe la Kimataifa nchini Marekani.
Liverpool tayari ilikuwa imejihakikishia kuongoza kundi lake kufuatia kipigo chaManchester City kwa penalti 5-4 kutoka kwa Olympiacos baada ya sare ta 2-2.
0 comments:
Post a Comment