Wamewasili: Kocha Mholanzi wa Manchester United akiwasili na kikosi chake mjini Manchester nchini England wakitokea Marekani ambako walitwaa Kombe la Kimataifa, michuano maalum iliyoandaliwa kwa klabu kujiandaa na msimu mpya
Louis van Gaal akiondoka Uwanja wa Ndege wa Manchester baada ya kuwasili
Wayne Rooney baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Manchester
Wachezaji wa Hispania, David de Gea (kushoto) na Juan Mata 
Tom Cleverley (kushoto) na Ashley Young
0 comments:
Post a Comment