Kikosi cha Yanga Kikosi cha Al Ahly Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho
Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri
akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo huo. Mpira umemalizika, Young Africans Sports Club 1 - 0 Al Ahly goli hilo limefungwa na Nadir Haroub "Cannavaro" dkk 82
0 comments:
Post a Comment