Kamanda
wa polisi mkoa wa Singida, SACP.Geofrey Kamwela, akitoa maelezo kwa
waandishi wa habari juu ya tukio la utekaji wa magari katika eneo la
Kisaki manispaa ya Singida. Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Abdula J.
Abdula ametoa wito kwa madereva kuacha mara moja vitendo vya kuziba
barabara kwa madai ya kudai haki zao kuwa vinachangia kusababisha
madhara mengi.
Baadhi
ya magari yaliyokwama kupita baada ya kufanyika kwa utekaji wa magari
katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida,(Piacha na
Nathaniel Limu).
0 comments:
Post a Comment