Moja kati ya majengo bora ya Shule ya awali na Msingi Mwasama iliyopo Bagamoyo Mkoani Pwani
Mama Mwajuma Masaiganah, mmiliki wa shule ya msingi MWASAMA iliyopo Bagamoyo Mkoani Pwani. Mama Mwajuma ni miongoni mwa wanawake shujaa na wenye uthubutu katika harakati za kupigania uboreshwaji na ukuaji wa elimu nchini. Shule yake hutoa kiwango bora cha elimu kila mwaka kwa nafasi za juu kati ya namba moja na mbili kimkoa na kitaifa.
Wanafunzi wakiwa darasani, eneo la Ukuni Bagamoyo
Mmoja kati ya walimu wa shule hiyo Bwana Isdory, akitathmini jambo baada ya kufundisha
0 comments:
Post a Comment