NI YULE ALIYEMSAIDIA KUMUUGUZA MAREHEMU ABISAI MDESA,VITUKO VYATAWALA MSIBANI M
| Madereva boda boda Iringa wakielekea nyumbani kwa marehemu Frank Luvanga aliyefariki kwa ajali ya boda boda usiku wa leo |
| Msafara wa kuelekea nyumbani kwa marehemu eneo la Frelimo ukitokea Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa |
| Msafara wa boda boda ukiwasili nyumbani kwa marehemu |
| Waombolezaji madereva boda boda wakiwa wameubeba mwili wa mwenzao Frank Luvanga aliyezikwa leo kijiji cha Mkaa kata ya Ifunda |
| Marehemu enzi za uhai wake |
| Zoezi la kutoa heshima za mwisho |
| Waombolezaji wakiwa na nyuso za majonzi |
| Usikose habari kamili ya juu ya vituko tele vilivyojitokeza katika msiba huo katika gazeti la Risasi wiki ijayo na katika mtandao huu hapana kukosa |












0 comments:
Post a Comment