‘Sabuni za kurudisha ubikira balaa'
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa
ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa na
Mfamasia wa Manispaa ya Dodoma Daria Mwanuka alisema hayo mwishoni mwa
wiki katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi wakati wa uteketezaji
dawa, vipodozi na vyakula visivyofaa kwa matumizi ya binadamu.... Soma
zaidi http://tinyurl.com/mmuydkx
Wednesday, 5 February 2014
HOME »
» SABUNI ZA KURUDISHA UBIKIRA KWA WANAWAKE KUSABABISHA KANZA YA SHINGO YA KIZAZI
0 comments:
Post a Comment