Wednesday, 5 February 2014

UEFA CHAMPIONZ LIGI: LISTI YA WACHEZAJI WAPYA YATOKA NDIO HII HAPA!

>>WAPYA WAMO CABAYE, ESSIEN, KÄLLSTRÖM, FLETCHER!
KIM_KALLSTROMUEFA Leo imeanika Listi za Wachezaji wa Timu 16 zinazoshiriki Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambazo Klabu zimechomeka Wachezaji kadhaa wapya.
Miongoni mwa Wachezaji wapya waliohamia Klabu mpya kwa Mwezi Januari ni Yohan Cabaye, Michael Essien na Kim Källström.
Kwa mujibu wa Kanuni za UEFA, Klabu hizo 16 zinaruhusiwa kusajili kwa UEFA Wachezaji wapya wasiozidi Watatu ifikapo Februari Mosi na mmoja wao hao Watatu anaweza kuwa amechezea Klabu nyingine Hatua ya Makundi ya Mashindano ya Klabu ya UEFA lakini si UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Kati ya walionufaika na hii ni Yohan Cabaye ambae alihamia Paris Saint-Germain kutoka Newcastle, Kim Källström ambae yuko Arsenal kwa Mkopo na Michael Essien alietoka Chelsea kwenda AC Milan.
Nae Kiungo wa Manchester United, Darren Fletcher, amechomekwa kwenye Listi hii mpya ambapo wataivaa Olympiacos ya Ugiriki kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI WAPYA:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
LISTI YA WACHEZAJI WAPYA
KLABU
WACHEZAJI WAPYA
KUZALIWA
JEZI NA
WALIOTOLEWA
AC Milan
EL SHAARAWY Stephan
(From List A to List B)
27.10.92
92
ANDRENACCI Lorenzo
AC Milan
ESSIEN Michael
03.12.82
15
MATRI Alessandro
AC Milan
PETAGNA Andrea (To List B)
30.06.95
95
NOCERINO Antonio
AC Milan
RAMI Adil
27.12.85
13
SILVESTRE Matías
AC Milan
TAARABT Adel
24.05.89
27






Arsenal FC
KÄLLSTRÖM Kim
24.08.82
29
AFOBE Benik
Arsenal FC



AKPOM Chuba
Arsenal FC



BOATENG Daniel
Arsenal FC



FRIMPONG Emmanuel
Arsenal FC



MIYAICHI Ryo





Bayer 04 Leverkusen
BRANDT Julian
02.05.96
19
CACUTALUA Malcom
Bayer 04 Leverkusen
DÜRHOLTZ Luca (From List
B to List A)
18.08.93
29
KOHR Dominik
Bayer 04 Leverkusen
GUARDADO HERNÁNDEZ
José Andrés
28.09.86
20
KRUSE
Robbie





Borussia Dortmund
FRIEDRICH Manuel
13.09.79
2

Borussia Dortmund

19.03.92
14
FOCHER Johannes
Borussia Dortmund



GÜNTER Koray





Chelsea FC
AKÉ Nathan (To List B)
18.02.95
27
BERTRAND Ryan
Chelsea FC
BEENEY Mitchell (To List B)
03.10.95
48
DE BRUYNE Kevin
Chelsea FC
MEIRELES ALVES SAMPAIO
Henrique Hilário
21.10.75
40
JUAN MATA Juan
Chelsea FC
KALAS Tomáš
15.05.93
33






Club Atlético de Madrid
RIBAS DA CUNHA Diego
28.02.85
21
BAPTISTÃO Léo
Club Atlético de Madrid
SOSA José Ernesto
19.06.85
24
DANI MÁRQUEZ Daniel
Club Atlético de Madrid



GONZÁLEZ Ian
Club Atlético de Madrid



GUILAVOGUI Josuha
Club Atlético de Madrid



MAYORAL Cristian
Club Atlético de Madrid



ÓLIVER TORRES Óliver





FC Barcelona
None




None










FC Bayern München
None




KIRCHHOFF Jan





FC Schalke 04
ANNAN Anthony
21.07.86
40
AOGO Dennis
FC Schalke 04
FRIEDRICH Marvin (To List
B)
13.12.95
20
JONES Jermaine
FC Schalke 04
LEIPERTZ Robert
01.02.93
27
UNNERSTALL Lars
FC Schalke 04
OSWALD Ferdinand
05.10.90
38






Football Club Zenit
KARPOV Maksim
17.03.95
50
BUKHAROV Aleksandr
Football Club Zenit
RONDÓN José
16.09.89
29
BYSTROV Vladimir




Football Club Zenit
SHEYDAEV Ramil
15.03.96
90
KHODZHANIYAZOV
Dzhamaldin
18.07.96
57



SOLOVYEV Ivan
29.03.93
99








BURDISSO Guillermo
26.09.88
2
AMRABAT Nordin
31.03.87
53
HAJROVIC Izet
04.08.91
14
TUÉ NA BANGNA Armindo
24.10.94
20


-1
BAYTAR Engin
11.07.83
50
LOMBARDO Attilio (Coach)
06.01.66
-1
NOUNKEU Dany
11.04.86
13
SALSANO Fausto (Coach)

-1
RIERA Albert
15.04.82
77
TELLES Alex Nicolao
15.12.92
15



UJFALUŠI Tomáš (Coach)
24.03.78
-1










Manchester City FC
None




HENSHALL Alex
15.02.94
53



HUTTON Louis
09.09.94
59



HUWS Emyr
30.09.93
52



JOHANSEN Eirik Holmen
12.07.92
63



SWAN George
12.09.94
69







Manchester United FC
AMOS Ben
10.04.90
40
ABREU OLIVEIRA Anderson
Luis
13.04.88
8
FLETCHER Darren 01.02.84
24
COLE Larnell
09.03.93
34
KEANE Michael (To List B) 11.01.93
38
PEREIRA DA SILVA Fabio
09.07.90
22
LINGARD Jesse (To List B) 15.12.92
35
JOHNSTONE Sam
25.03.93
50
WILSON James (To List B) 01.12.95
46
THORPE Tom
13.01.93
39



ZAHA Wilfried
10.11.92
29







Olympiacos FC
MARCANO Iván
23.06.87
25
MEDJANI Carl
15.05.85
22
PERÉZ Hernán 25.02.89
17
MITROGLOU Kostas
12.03.88
11
VALDEZ Nelson 28.11.83
18
WEISS Vladimír
30.11.89
79



YATABARÉ Sambou
02.03.89
60







Paris Saint-Germain
CABAYE Yohan
14.01.86
4
TRAORÉ Kalifa
16.02.91
37







Real Madrid CF
None




None



















Related Posts:

0 comments: