Aguero amedai ataendelea kujijenga baada
kuwa nje ya Uwanja na kuzikosa Mechi 8 na anategemea kuwa fiti kabisa
wakati Barcelona watakapotua Etihad hapo Februari 18 kucheza Mechi ya
Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Man City hawajafungwa katika Mechi 16, wakiwa wameshinda Mechi 14, na kupachika Jumla ya Bao 99.
Aguero, Raia wa Argentina mwenye Miaka
25, akiongea na City TV, Kituo cha TV cha Man City, alitamka:
“Nimefurahi kwa kurudi. Nilifanya Mazoezi na Timu Jumatatu kwa mara ya
kwanza na kucheza Mechi ya kwanza. Pengine baada ya Wiki ntarudia fomu
yangu na kadri ntakavyocheza ndio ntajijenga. Dhidi ya Barca ntakuwa
tayari.”
Aguero amesema anategemea kupata nafasi ya kucheza kwenye Mechi ya Ligi ya Jumamosi Uwanjani Etihad na Cardiff City.
Hadi sasa, Man City wameshinda Mechi zao zote 10 za Ligi Uwanjani kwao Etihad na kufunga Jumla ya Bao 38.
Man City wapo Nafasi ya Pili kwenye Msimamo wa Ligi wakiwa Pointi 1 tu nyuma ya Vinara Arsenal.
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
21 |
22 |
48 |
2 |
Man City |
21 |
36 |
47 |
3 |
Chelsea |
21 |
21 |
46 |
4 |
Liverpool |
21 |
25 |
42 |
5 |
Everton |
21 |
15 |
41 |
6 |
Tottenham |
21 |
1 |
40 |
7 |
Man United |
21 |
11 |
37 |
8 |
Newcastle |
21 |
2 |
33 |
9 |
Southampton |
21 |
4 |
30 |
10 |
Hull |
21 |
-5 |
23 |
11 |
Aston Villa |
21 |
-7 |
23 |
12 |
Stoke |
21 |
-13 |
22 |
13 |
Swansea |
21 |
-4 |
21 |
14 |
West Brom |
21 |
-5 |
21 |
15 |
Norwich |
21 |
-18 |
20 |
16 |
Fulham |
21 |
-24 |
19 |
17 |
West Ham |
21 |
-10 |
18 |
18 |
Cardiff |
21 |
-18 |
18 |
19 |
Sunderland |
21 |
-15 |
17 |
20 |
Crystal Palace |
21 |
-18 |
17 |
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 18
1545 Sunderland v Southampton
1800 Arsenal v Fulham
1800 Crystal Palace v Stoke
1800 Man City v Cardiff
1800 Norwich v Hull
1800 West Ham v Newcastle
2030 Liverpool v Aston Villa
Jumapili Januari 19
1630 Swansea v Tottenham
1900 Chelsea v Man United
Jumatatu Januari 20
2300 West Brom v Everton
Jumanne Januari 28
2245 Man Utd v Cardiff
2245 Norwich v Newcastle
2245 Southampton v Arsenal
2245 Swansea v Fulham
2300 Crystal Palace v Hull
2300 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City
0 comments:
Post a Comment