HOME »
» PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO NA MIKOANI
 |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Jumuiya za
Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa
matumizi ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12,
2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na
Mkoani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza
nao kuhusu mgogoro wa matumizi ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini
Dar es salaam Februari 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wa Kampuni ya China ya
AVIC Group China Civil Aviation inayopkusudia kuwekeza katika kampuni
ya Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 13,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
0 comments:
Post a Comment