HOME »
» KUITWA KAZINI:TANGAZO LA FEBRUARY 12 2014 KUTOKA UTUMISHI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili
tarehe 06 hadi 29 Januari, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili
wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Waajiri wao kama
ilivyooneshwa katika tangazo hili.
0 comments:
Post a Comment