Diwani
Bonna Kaluwa akitoa takwimu za vifo vinavyotokana na ukosefu wa damu
wakati wa uzinduzi wa kampeni yake ya kuchangisha damu salama ili kuokoa
vifo hivyo. Kampeni hiyo imezinduliwa Dar es Salaam leo na kilele chake
ni Juni 22, mwaka huu.
Diwani
wa Kipawa, Bonna Kaluwa wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar
es Salaam leo, ambapo amewahamasisha Watanzania kujitokeza kuchangia
damu salama. ( Picha zote na Oscar Mbuza)
Waandishi
wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia uzinduzi wa kampeni ya
uchangishaji wa damu iliyozinduliwa Dar es Salaam leo na Diwani wa Kata
ya Kipawa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonna Kaluwa.
Afisa
Viwango na Ubora wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Ndeonasia Towo
akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu salama
inayoratibiwa na Diwani wa Chama cha Mapinduzi wa Kata ya Kipawa, Bonna
Kaluwa (katikati) iliyozinduliwa katika Ukumbi wa Arnaotoglu na kilele
chake kitakuwa Juni 22, mwaka huu kwenye viwanja vya Sitakishari Kata
ya Kipawa, Dar es Salaam. Kampeni hiyo inalengo la kuchangisha damu ili
kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutokana na ukosefu wa
damu.
0 comments:
Post a Comment