Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akiongea na wafanyabiashara wa jijini
Mwanza katika ukumbi wa Benki Kuu alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea
mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza. Wa kwanza ushoto ni Meneja wa Mashine
za Kodi za Kielektroniki (EFDs) nchini Massoud Issangu na wa katikati ni
Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato nchini Patrick Kasera.
Kamishna
wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato nchini Patrick Kasera akiongea na
akiongea na wafanyabiashara wa jijini Mwanza katika ukumbi wa Benki Kuu
tawi la Mwanza wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Fedha kutembelea
mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza. Wa kwanza ushoto ni Meneja wa Mashine
za Kodi za Kielektroniki (EFDs) nchini Massoud Issangu.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima (kulia) akiwa kwenye mkutano na
wafanyabiashara wa jijini Mwanza katika ukumbi wa Benki Kuu tawi la
Mwanza.alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea mikoa ya Kagera, Mara na
Mwanza. Kushoto ni . Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato
nchini Patrick Kasera.
Baadhi
ya wajumbe wa mkutanao wa wafanyabiashara wa Mwanza wakiwa kwenye
mkutano wao na Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima jijini Mwanza kuhusu
masuala ya kibiashara ndani ya mkoa wao
Baadhi
ya wajumbe wa mkutanao wa wafanyabiashara wa Mwanza wakiwa kwenye
mkutano wao na Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima jijini Mwanza kuhusu
masuala ya kibiashara ndani ya mkoa wao
Baadhi
ya wajumbe wa mkutanao wa wafanyabiashara wa Mwanza wakiwa kwenye
mkutano wao na Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima jijini Mwanza kuhusu
masuala ya kibiashara ndani ya mkoa wao
Mmoja
wa wafanyabiashara wa jijini Mwanza Leopord Kararugira akiuliza swali
juu ya matumizi bora ya kibiashara ya mashine za EFD wakati wa mkutano
wafanyabiashara hao wa jijini Mwanza na Naibu Waziri wa Fedha katika
ukumbi wa Benki Kuu tawi la Mwanza.
Mfanyabiashara
wa jijini Mwanza Mgesi Marwa akiuliza swali juu ya hofu yao ya bei za
mashine za EFD wakati wa mkutano wafanyabiashara hao wa jijini Mwanza na
Naibu Waziri wa Fedha katika ukumbi wa Benki Kuu tawi la Mwanza ambapo
kwa mujibu wa Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato nchini
Patrick Kasera bei ya chini ya mashine hizo ni sh.600, 000/= na bei ya
juu ni sh.690,0000/=
Naibu
Waziri Adam Malima akiwa na baadhi ya viongozi wa TRA na Hazina ndogo
mara baada ya mkutano na wafanyabiashara jijini nje ya ukumbi wa Benki
Kuu tawi la Mwanza.
(Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Mwanza)
0 comments:
Post a Comment