Wednesday, 5 February 2014

KIJANA HASSAN BAKARI KATUMBAKU AKIMSHUKURU MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE BAADA YA KUMSAIDI MATIBABU

 
Kijana Bakari Hassan Katumbaku ambaye alipata msaada wa matibabu kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo mpaka sasa anaendelea kupata msaada wa kusoma (kulia) akimshukuru Mheshimiwa Rais mbele ya waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kwa msaada aliopewa,kijana huyo kwa sasa anasoma katika Chuo cha “Tanzania School of Journalism” akichukua fani ya Uhandishi wa Habari ngazi ya Cheti.Bakari alipata ajali ya Moto, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Vincent Tiganya IMG_9740 
 Kijana Bakari Hassan Katumbaku (Kulia) akionyesha Picha zake enzi za utoto kabla ya kupata ajali ya moto kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Vincent Tiganya.(Picha Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari) IMG_9745 

Related Posts:

0 comments: