Timu Manchester City leo inakutana na Chelsea katika mzunguko wa raundi ya pili wa ligi kuu ya uingereza katika uwanja wa Etihad Stadium, Chelsea iliitandika timu ya Manchester City magoli 2-1 katika uwanja wa Stamford Bridge hivyo mechi ya leo itakuwa ni vuta n kuvute kwani timu zote mbili zinahitaji pointi nyingi ili kujiweka katika sehemu nzuri.
Timu ya Manchester City hadi sasa ina pointi 53 katika michezo 23 iliyoicheza na ipo nyuma kwa timu ya Arsernal yenye point 56 hivyo Manchester City lazima ishinde ili kuitoa Arsenal kileleni wakati huo huo timu ya Chelsea ikiwa na pointi 50 katika michezo 23 iliyoicheza bado inahitaji ushindi ili iweze kuwakuta Manchester City kwa usawa wa pointi ya 53.
Taarifa rasmi kutoka timu ya man city imesema lazima chelsea lazima wachapwe zaidi ya goli mbili hayo yamesemwa na kocha wa timu hiyo pamoja na benji la ufundi la timu hiyo ya man city wamejianda vizuri sana tu
0 comments:
Post a Comment