Tuesday, 11 February 2014

LIGI KUU ENGLAND: WENGER AMGWAYA ROBIN VAN PERSIE!

RVP_n_WENGERArsene Wenger anaamini kuwa tishio kubwa kwao ni toka kwa Nahodha wake wa zamani Robin van Persie wakati Manchester United itakapotua Emirates Jumanne Usiku kucheza na Arsernal kwenye Mechi ya Ligi Kuu Endland.
Van Persie, aliihama Arsenal Agosti 2012, na kuisaidia Man United kutwaa Ubingwa
wa England katika Msimu wake wa kwanza tu huko Old Trafford chini ya Meneja Sir Alex Ferguson lakini Msimu huu chini ya Meneja mpya David Moyes Mabingwa hao wanayumba vibaya.
Arsenal wako Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 55 wakati Man United wako Nafasi ya 7 wakiwa na Pointi 41.
Wenger, ambae anataka Timu yake iibuke vyema baada ya kutandikwa 5-1 katika Mechi iliyopita ya Ligi huko Anfield walipoaibishwa na Liverpool, ametaja Robin van Persie ndie tishio kwao aliposema: “Van Persie ni Mchezaji bora. Ni juu yetu kujilinda dhidi yake. Nadhani kufungwa na Liverpool ni ajali na tutajibu na Man United!”
Katika Mechi ya kwanza ya Ligi Msimu huu iliyochezwa huko old Trafford, Man United iliifunga Arsenal Bao 1-0 kwa Bao la Van Persie.
RATIBA:
Jumanne Februari 11
2245 Cardiff v Aston Villa
2245 Hull v Southampton
2245 West Ham v Norwich
2300 West Brom v Chelsea
Jumatano Februari 12
2245 Arsenal v Man United
2245 Everton v Crystal Palace
2245 Man City v Sunderland
2245 Newcastle v Tottenham
2245 Stoke v Swansea
2300 Fulham v Liverpool

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
PTS
GD
1
Chelsea FC
25
17
5
3
47
20
27
56
2
Arsenal FC
25
17
4
4
48
26
22
55
3
Man City
25
17
3
5
68
27
41
54
4
Liverpool
25
15
5
5
63
30
33
50
5
Tottenham
25
14
5
6
32
32
0
47
6
Everton FC
25
12
9
4
37
26
11
45
7
Man United
25
12
5
8
41
31
10
41
8
Newcastle
25
11
4
10
32
34
-2
37
9
Southampton
25
9
9
7
36
29
7
36
10
Swansea
25
7
6
12
32
35
-3
27
11
Hull City
25
7
6
12
25
30
-5
27
12
Aston Villa
25
7
6
12
27
36
-9
27
13
Stoke City
25
6
8
11
26
40
-14
26
14
Crystal Palace
25
8
2
15
18
34
-16
26
15
West Ham
25
6
7
12
26
33
-7
25
16
Norwich City
25
6
7
12
19
37
-18
25
17
Sunderland
25
6
6
13
25
38
-13
24
18
West Brom
25
4
11
10
29
37
-8
23
19
Cardiff City
25
5
6
14
19
44
-25
21
20
Fulham FC
25
6
2
17
24
55
-31
20
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi Februari 22
1545 Chelsea v Everton
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham

Related Posts:

0 comments: