Grace Tendega (kushoto) akisindikizwa
ukumbini siku ya kura za maoni na mpambe wake wakati wa kura za
maoni Chadema ambapo wana Chama 13 walijitokeza na mwanamama huyo
kuchukua nafasi ya pili kwa kura za kishindo ,wa kwanza alikuwa
Sinkala Mwenda anayedaiwa kufoji kadi za wanachama na kupoteza sifa
Saturday, 15 February 2014
HOME »
» HUYU NDIE GRACE TENDEGA ALIYETEULIWA NA CHADEMA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
0 comments:
Post a Comment