Saturday, 8 February 2014

CHELSEA YAINYUKA NEWCASTLE BAO 3-0 EDEN HAZARD AWA STAR WA MCHEZO


HAZARD


Chelsea yailaza Newcastle Stamford Bridge.
Eden Hazard mchezaji hodari wa mechi ya leo, baada ya utatu wa magoli yake anaipeleka klabu ya Chelsea kwenye kiti cha heshima kuongoza ligi kuu ya Uingereza na pointi 56.
Katika dakika 27 za mchezo ndipo Hazard alitandika goli la kwanza kabla ya kuingiza yeye mwenyewe goli la pili kwenye dakika ya 34.
Baada ya kuaminiwa katika mchezo huu, alipewa pia penalti kwenye dakika ya 63 na kuingiza bila shaka.
Eden Hazard leo hii anaeneza magoli 12 katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu akisawazisha na mchezaji mashuhuri wa kati katika timu ya Man City Yaya Touré.
Takwimu ya mchezo:
Chelsea: Cech ; Ivanovic , Azpilicueta , Lampard, Cahill, David Luiz, Willian (Salah – 78′ ), Matic, Eto’o (Ba – 71′ ), Oscar, Hazard (Schürrle – 85′ )
Wasiotumiwa: Cole, Ramires, Mikel, Schwarzer
Magoli: Hazard 27′, 34′, 63′ (pen)
Kocha: José Mourinho
Newcastle United: Krul, Debuchy  40′ ), Dummett, Santon, Williamson, Taylor, Ben Arfa (Gosling – 64′ ), Anita (Marveaux – 84′ ), de Jong, Sissoko, Sa Ameobi
Kadi ya manajano: Sa Ameobi, Yanga-Mbiwa, Sissoko
Wasiotumiwa: Haidara, Elliot, Sh Ameobi, Armstrong
Kocha:
Mchezaji hodari: Eden Hazard
Refarii: Howard Webb
Mahudhurio: 41,387

Related Posts:

0 comments: