![]() |
Hii ni mfano wa picha ya mchawi picha na maktaba |
Raia mmoja wa wa kijiji cha shilanga willaya ya mbeya
vijijini ajulikanayea kwa jina la Mwawa Mwasile alikamatwa akiwa juu ya paa la
nyumba ya mganga wa jadi wa kjiji hicho akiwa uchi wa mnyama jumatano wiki hii ,
Mwenyekiti wa kijiji
hicho ndugu Von Ronald ameeleza kuwa Mwawa aalikutwa juu ya paaa la mganga wa
jadi bwana mahenge akiwa bila nguo
yeyote ,kwa maelezo ya mganga huyo,
asema kuwa raia huyu anaituhumiwa kua ni mchawi ambayea aliaenda
kumjaribu mganga wa jadi na kwabahati mbaya akakutana na nguvu ya
mganga ndipo aliposhindwa na wa kamkuta juu ya paa la nyumba
hiyo ya mgangahuyu.
Kwa bujibu wa mwenyekiti wa kijiji hichi Bwana Ronald imesemeaka mtu huyo ni kiongozi wa kwaya ya kanisa la mitume lilopo kijiji hapo
,baada ya kukamtwa kwa mtu huyo wananchi
wenye hasira kali waliandamana
mpaka kwa mwenyekiti huyo ili
aweze kuchukua hatua zaidi, kwa mtu huyo
ingawa baadhi ya wananchi wenye
hasira kali walianza kuchukua hatua mikononi
na kumshambulia kwa mawe,vimbo na mapanga.
Ndipo uongozi wa jiji
ulichkua hatua za kumuokoa ,mpaka sasa mtu humiwa huyo amelazwa katika hospiatali ya hicho cha
shilanga kwa matibabu zaidi na hali sio
nzuri kutokana na kipigo alicho kipata kutoka kwa wananchi
Bwana Ronald amewasisitiza
wananchi kukoma tabia ya
uchawi kwa hasa wale wanao abudu katika
madhehebu yao, wabudu katika roho ya
kweli pia amewaonya tabia ya wananchi
kujichukulia mamlaka yamkononi ya kwa piga watu kama ha wa bali wawafikishe kwenye vyombo husika
Habari hii imeandikwa
na
ADVEAR ALSON
Mbeya vijijini
0 comments:
Post a Comment