Picha hii ya ndivyo zinavyo onekana baada ya mtoto huyo
kufumuliwa kutoka kwenye mfuko , Hiyo nguo ni msamalia mwema ametoa
Mama mmoja asijulikana jina lake wala makazi yake alimtupa
motto mchanga jinsia ya kiume anaekadiliwa
kuwa na umria wa mieazi tisa
aliyeye kutwa ametupwa kwenye mfuko wa Rambo katika mji wa mbalizi mbeya vijiji
siku ya tarehe 11 februry 2014 mwaka huu
Akithibitsha kutokea kwa tukio hilo mwenye kiti wa kitongoji
cha mbalizi ndugu EDWARD JOSHUA amealeza kuwa kiumbe hicho kilikutwa na watoto wadogo ambao
alikua wakinga’nganiana wakidai ni mdoli, kwa kila mmoja alidai ni mdoli wake
,baadayea alitokea mama mmoja na kuawakuta watoto hao wakigombambana ndipo alipoa amua jukukumu la kufikisha
taarifa kwa uongozi wa mtaa huo
Bwana EDWARD ameongeza kuwa juhudiza kumtafuta mama aliye fanya kitendo hicho cha kikatili
zianendelea,ingawa hawajapata taarifa ya mahali anapoishi na wala jina
lake,mpaka sasa kiumbe hicho kimezikwa katika maeneo ya poli yaliyopo karibu na
kitongoji hicho na msoko mkali
wakumtafuta mtu huyo unaendelea kwa kushilikana na jeshi la polisi mkoa
Pia Bwana EDWARD
ameomba wananchi wake wafanye linalo wezekana kumpata mtu humiwa huyu ili sheria ifuta mkondo wake
kwa kufuatatiwa kitendo cha kikatili kilichofanywa na mama huyo na kuwaomba
wakinamama wasiwe na roho za kitaili
Habari hii imeandikwa
na
ADVEAR ALSON
Mbeya vijijini
0 comments:
Post a Comment