Gari likipita kwa shida katika eneo la Mbimbizi barabara ya kuelekea shule ya sekondari Mtwivila baada ya mjenzi wa mifereji katika eneo hilo kushindwa kumaliza kazi hiyo na kuhamia eneo jingine |
Huu ndio mfereji unaojengwa bila kukamilika na ipo baadhi ya mifereji iliyosimama na kwa sasa kuwa ni hatari zaidi kwa usalama wa nguzo za umeme na nyumba za wakazi wanaozunguka maeneo hayo |
0 comments:
Post a Comment