KLABU za Tanzania Bara, Azam FC leo huko Zanzibar iklikua na kibarua kikali kwenye Nusu Fainali zaMapinduzi
Cup, Kombe la Kusheherekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa
kuzivaa Timu toka Uganda ya kcc lakini leo AZAM FC wamechapwa bao 2-3 hivyo imeondolewa katimashindano hayo bali ian subili kucheza kutafuta mshindi wa tatu kumbuka kua
Mabigwa Watetezi wa Mapinduzi Cup, Azam
FC, wao walitinga Nusu Fainali kwa kuichapa Clove Stars, Kombaini ya
Pemba, Bao 2-0, wakati Simba, walioifunga Chuoni 2-0 kwenye Robo Fainali,
Na simba wataikwaana URA Uwanja wa Amann zanzibar Saa 2 Usiku. muda huu mechi ya simba imesha anzaa
RATIBA/MATOKEO:
ROBO FAINALI
Jumatano Januari 8
Gombani Stadium, Pemba
KMKM 0 URA 1
Azam FC 2 Clove Stars 0
Amaan Stadium
Tusker 0 KCC 0 [KCC imesonga kwa Penati 4-3]
Simba 2 Chuoni 0
NUSU FAINALI
Ijumaa Januari 10
Azam FC 2 v KCC 3
SAA 2 USIKU: URA v Simba
Fainali ni Jumatatu Januari 13 kwenye Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.>>
YANGA YATUA UTURUKI, CHUJI AOMBA RADHI!!
WAKATI HUO HO, Mabingwa wa Tanzania
Bara, Yanga, wakiwa na Msafara wa Watu 33 wakiwemo Wachezaji 27, wametua
huko Mji wa Atalya, Uturuki kwa Kambi ya Mazoezi ya Wiki mbili.
Yanga, ambao wamesafiri bila Kiungo wao
Athumani Idd ‘Chuji’ ambae inadaiwa amesimamishwa kwa utovu wa Nidhamu
na ambao wako chini ya Makocha Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondali,
watacheza Mechi 3 za kujipima nguvu.
Habari toka duru za Klabu ya Yanga zinadai kuwa Athumani Idd ‘Chuji’ ameomba msamaha.
0 comments:
Post a Comment