Monday, 13 January 2014

LIGI KUU ENGLAND: LIVERPOOL YAICHAPA STOKE CITY 3-5 ANGALIA MATOKEO YA MICHE ZA JANA

  >>LIVERPOOL KIDEDEA 5-3 BAADA GOLI LA KUJIFUNGA WENYEWE, PENATI!!


MATOKEO:
Jumapili Januari 12
Newcastle 0 Man City 2
Stoke 3 Liverpool 5

Ni Mechi ya Jumla ya Bao 8, ikiwemo Penati na kujifunga mwenyewe, lakini hatimaye Mfungaji Bora Ligi KuuBPL2013LOGOkwa sasa, Luis Suarez, alipiga Bao 2 na kuiwezesha Liverpool kuinyuka Stoke City kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Uwanjani kwa Stoke.
Mwanzoni Liverpool waliongoza Bao 2-0 lakini Stoke walikuja juu na kufanya Gemu iwe 2-2 hadi Mapumziko.

MAGOLI:
Stoke 3
-Crouch Dakika ya 39
-Adam 45
-Walters 85
Liverpool 5
-Shawcross Dakika ya 5 (Kajifunga mwenyewe)
-Suárez 32 & 71
-Gerrard 51 (Penati)
-Sturridge 87

Lakini Kipindi cha Pili, Penati iliyopigwa na Steven Gerrard iliwafanya Liverpool waongoze 3-2 na Suarez kufanya Gemu iwe 4-2 kisha Jon Walters akaifungia Stoke Bao na Mechi kuwa 4-3 lakini Dakika 2 baadae Daniel Sturridge alipiga Bao la mwisho na kuipa Liverpool ushindi wa Bao 5-3.
Ushindi huu umeifanya Liverpool ikamate Nafasi ya 4.
VIKOSI:
Stoke: Butland, Cameron, Shawcross, Wilson, Pieters, Nzonzi, Whelan, Walters, Adam, Arnautovic, Crouch
Akiba: Muniesa, Pennant, Palacios, Etherington, Sorensen, Shotton, Ireland.
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Toure, Cissokho, Gerrard, Lucas, Henderson, Sterling, Suarez, Coutinho
Akiba: Alberto, Aspas, Moses, Sturridge, Ibe, Kelly, Ward.
Refa: Anthony Taylor
MSIMAMO:
NA TIMU P GD PTS
1 Man City 21 36 47
2 Chelsea 21 21 46
3 Arsenal 20 21 45
4 Liverpool 21 25 42
5 Everton 21 15 41
6 Tottenham 21 1 40
7 Man United 21 11 37
8 Newcastle 21 2 33
9 Southampton 21 4 30
10 Hull 21 -5 23
11 Aston Villa 20 -6 23
12 Stoke 21 -13 22
13 Swansea 21 -4 21
14 West Brom 21 -5 21
15 Norwich 21 -18 20
16 Fulham 21 -24 19
17 West Ham 21 -10 18
18 Cardiff 21 -18 18
19 Sunderland 21 -15 17
20 Crystal Palace 21 -18 17
RATIBA:
Jumatatu Januari 13
2300 Aston Villa v Arsenal
Jumamosi Januari 18
1545 Sunderland v Southampton
1800 Arsenal v Fulham
1800 Crystal Palace v Stoke
1800 Man City v Cardiff
1800 Norwich v Hull
18000 West Ham v Newcastle
2030 Liverpool v Aston Villa
Jumapili Januari 19
1630 Swansea v Tottenham
1900 Chelsea v Man United
Jumatatu Januari 20
2300 West Brom v Everton
Jumanne Januari 28
2245 Man Utd v Cardiff
2245 Norwich v Newcastle
2245 Southampton v Arsenal
2245 Swansea v Fulham
2300 Crystal Palace v Hull
2300 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City

Related Posts:

0 comments: