>>JUMATATU: GHANA v CONGO, LIBYA v ETHIOPIA!
KUNDI B la Orange CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao,
Jumapili wamecheza Mechi zao za kwanza huko Athlone Stadium, Mjini Cape Town.
Katika Mechi ya Kwanza, Zimbabwe na Morocco zilitoka Sare ya 0-0.
MAKUNDI
KUNDI A
-South Africa
-Mali
-Nigeria
-Mozambique
KUNDI B
-Zimbabwe
-Uganda
-Burkina Faso
-Morocco
KUNDI C
-Ghana
-Libya
-Ethiopia
-Congo
KUNDI D
-Congo DR
-Gabon
-Burundi
-Mauritania
VIWANJA:
CAPE TOWN:
- Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG
- Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
Katika Mechi iliyofuata ya Kundi B,
Uganda iliipiga Burkina Faso Bao 2-1 na Bao zao zote kufungwa na Sentamu
katika Dakika ya 15 na 73 wakati Bao la Burkina Faso kuingizwa na
Bayala katika Dakika ya 88.
Hapo Jana Jumamosi, Mechi za Ufunguzi za
Kundi A zilichezwa na Wenyeji South Africa kuanza kwa ushindi
walipoichapa Mozambique Bao 3-1 na kufuatia Mali kuifunga Nigeria Bao
2-1.
Jumatatu zipo Mechi mbili za Kundi C kati ya Ghana v Congo na Libya v Ethiopia.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 11
South Africa 3 Mozambique 1
Mali 2 Nigeria 1
Jumapili Januari 12
Zimbabwe 0 Morocco 0
Uganda 2 Burkina Faso 1
Jumatatu Januari 13
1800 Ghana v Congo [Free State Stadium]
2100 Libya v Ethiopia [Free State Stadium]
Jumanne Januari 14
1800 Congo DR v Mauritania [Peter Mokaba Stadium]
2100 Gabon v Burundi [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 15
1800 South Africa v Mali [Cape Town Stadium]
2100 Nigeria v Mozambique [Cape Town Stadium]
Alhamisi Januari 16
1800 Zimbabwe v Uganda [Athlone Stadium]
2100 Burkina Faso v Morocco [Athlone Stadium]
Ijumaa Januari 17
1800 Ghana v Libya [Free State Stadium]
2100 Ethiopia v Congo [Free State Stadium]
Jumamosi Januari 18
1800 Congo DR v Gabon [Peter Mokaba Stadium]
2100 Burundi v Mauritania [Peter Mokaba Stadium]
Jumapili Januari 19
2000 Nigeria v South Africa [Cape Town Stadium]
2000 Mozambique v Mali [Athlone Stadium]
Jumatatu Januari 20
2000 Burkina Faso v Zimbabwe [Athlone Stadium]
2000 Morocco v Uganda [Cape Town Stadium]
Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Mshindi Kundi B v Wa Pili Kundi A [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mshindi Kundi A v Wa Pili Kundi B [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Wa Pili Kundi C [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Mshindi Kundi C v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]
0 comments:
Post a Comment