>>NIGERIA BADO WAMO, MOZAMBIQUE NJE!!
>>ALHAMISI KUNDI B: ZIMBABWE v UGANDA, BURKINABE v MOROCCO!
WENYEJI South Africa leo wametoka Sare ya Bao 1-1 na Mali katika Mechi ya Kundi A la Orange
CHAN
2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya
Nchi zao, iliyochezwa leo huko Cape Town Stadium, Mjini Cape Town.
South Africa ndio waliopata Bao mwanzoni
kwa Penati ya Bernard Parker kwenye Dakika ya 25 na Mali kusawazisha
katika Dakika ya 54 kwa Bao la Sidibe.
Timu hizi zilishinda Mechi zao za kwanza
kwa South Africa kuichapa Mozambique 3-1 na Mali kuifunga Nigeria Bao
2-1 na ndio zinakamata Nafasi mbili za juu za Kundi A huku South Africa
wakiwa kilelwni.
MSIMAMO: |
|||||||||
KUNDI A |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
South Africa |
2 |
1 |
1 |
0 |
4 |
2 |
2 |
4 |
2 |
Mali |
2 |
1 |
1 |
0 |
3 |
2 |
1 |
4 |
3 |
Nigeria |
2 |
1 |
0 |
1 |
5 |
5 |
0 |
3 |
4 |
Mozambique |
2 |
0 |
0 |
2 |
3 |
7 |
-4 |
0 |
KUNDI B |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Uganda |
1 |
1 |
0 |
0 |
2 |
1 |
1 |
3 |
2 |
Zimbabwe |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
1 |
2 |
Morocco |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
1 |
4 |
Burkina Faso |
1 |
0 |
0 |
1 |
1 |
2 |
-1 |
0 |
KUNDI C |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Libya |
1 |
1 |
0 |
0 |
2 |
0 |
2 |
3 |
2 |
Ghana |
1 |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
1 |
3 |
3 |
Congo |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
1 |
-1 |
0 |
4 |
Ethiopia |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
2 |
-2 |
0 |
KUNDI D |
|||||||||
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Congo DR |
1 |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
1 |
3 |
2 |
Gabon |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
1 |
3 |
Burundi |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
1 |
4 |
Mauritania |
1 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
-1 |
0 |
VIWANJA:
CAPE TOWN:
- Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/ /Bloemfontein
- Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
Katika Mechi nyingine ya Kundi A,
Nigeria waliichapa Mozambique Bao 4-2 na kujiweka hai kufuzu huku
Mozambique wakiwa Timu ya kwanza kwenye Mashindano haya itolewe nje
baada ya kupokea kipigo cha pili mfululizo.
Mabao kwenye Mechi hii yalifungwa na
Ede, Ali Bao 2 moja Penati na Imenger kwa Nigeria na Dario Khan na Diogo
kuipatia Mozambique.
Alhamisi zitakuwepo Mechi mbili za Kundi
B kati ya Zimbabwe v Uganda na Burkina Faso v Morocco zote
zikichezwa Athlone Stadium, Jijini Cape Town.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 11
South Africa 3 Mozambique 1
Mali 2 Nigeria 1
Jumapili Januari 12
Zimbabwe 0 Morocco 0
Uganda 2 Burkina Faso 1
Jumatatu Januari 13
Ghana 1 Congo 0
Libya 2 Ethiopia 0
Jumanne Januari 14
Congo DR 1 Mauritania 0
Gabon 0 Burundi 0
Jumatano Januari 15
South Africa 1Mali 1
Nigeria 4 Mozambique 2
Alhamisi Januari 16
1800 Zimbabwe v Uganda [Athlone Stadium]
2100 Burkina Faso v Morocco [Athlone Stadium]
Ijumaa Januari 17
1800 Ghana v Libya [Free State Stadium]
2100 Ethiopia v Congo [Free State Stadium]
Jumamosi Januari 18
1800 Congo DR v Gabon [Peter Mokaba Stadium]
2100 Burundi v Mauritania [Peter Mokaba Stadium]
Jumapili Januari 19
2000 Nigeria v South Africa [Cape Town Stadium]
2000 Mozambique v Mali [Athlone Stadium]
Jumatatu Januari 20
2000 Burkina Faso v Zimbabwe [Athlone Stadium]
2000 Morocco v Uganda [Cape Town Stadium]
Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Mshindi Kundi B v Wa Pili Kundi A [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mshindi Kundi A v Wa Pili Kundi B [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Wa Pili Kundi C [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Mshindi Kundi C v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]
0 comments:
Post a Comment