Wednesday, 15 January 2014

FA CUP: MAN CITY HATARI YAIBOMOA ROVERS 5-0 SASA YATINGA RAUNDI YA NNE

FA_CUP_2013-2014MANCHESTER CITY, baada kutoka Sare 1-1 na Blackburn Rovers huko Ewood Park hapo Januari 4, Jana Usiku iliikomesha Timu hiyo ya Daraja la chini kwa kuibamiza Bao 5-0 katika Marudiano ya Raundi ya Tatu ya FA CUP yaliochezwa Etihad.
City sasa wamesonga Raundi ya Nne na watacheza na Watford Uwanjani Etihad Wikiendi ya Januari 25.
Bao za City, ambao walikuwa 1-0 hadi Mapumziko, zilifungwa na Manchester City Alvaro Negredo, Bao 2, Edin Dzeko, Bao 2 na moja la Sergio Aguero ambae alitokea Benchi baada kukosa Mechi kadhaa akiwa Majeruhi.
VIKOSI:
Man City: Pantilimon, Richards, Nastasic, Lescott, Clichy, Navas, Garcia, Milner, Fernandinho, Dzeko, Negredo
Akiba: Hart, Zabaleta, Kolarov, Aguero, Demichelis, Huws, Lopes.
Blackburn: Robinson, Henley, Hanley, Kilgallon, Spurr, Cairney, Lowe, Williamson, Taylor, Marshall, Campbell
Akiba:  Gestede, King, Dunn, Eastwood, Olsson, Rochina, Mahoney.

DROO KAMILI-RAUNDI ya Nne FA CUP:
**Mechi kuchezwa Wikiendi ya Januari 25
Sheffield United v Fulham
Birmingham v Swansea
Bournemouth v Liverpool
Manchester City v Watford
Chelsea v Stoke
Wigan v Crystal Palace
Stevenage v Everton
Arsenal v Coventry
Rochdale v Sheffield Wednesday
Southend v Hull City
Nottingham Forest v Preston
Port Vale v Brighton
Huddersfield v Charlton or Oxford
Southampton v Yeovil
Bolton v Cardiff
Sunderland v Kiddrminister

THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17

Related Posts:

0 comments: