Saturday, 18 January 2014

CHAN 2014: GHANA, LIBYA SARE, ETHIOPIA NJE! YA MICHUANO YA CHAN

>>LEO: CONGO DR v GABON, BURUNDI v MAURITANIA!
CHAN2014_LOGOJANA huko Free State Stadium, Bloemfontein, Mangaung, Afrika Jusini, Kundi C la Orange CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, limecheza Mechi zake za Pili kwa Ghana na Libya kutoka Sare na Congo, Brazaville kuitungua Ethiopia Bao 1-0.
Ghana ilitangulia kufunga katika Dakika ya 6 kwa Bao la Mohamed lakini Libya wakasawazisha kwa Penati ya Dakika ya 72 Mfungaji akiwa Faisal Albadri.
Baadae Congo iliichapa Ethiopia Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 78 la Bhebey.
Matokeo hayo yamezifanya Libya na Ghana ziwe juu, zote zikiwa na Pointi 4, Congo inakamata Nafasi ya 3 ikiwa na Pointi 3 na Ethiopia, ikiwa haina Pointi hata moja, imetupwa nje ya Mashindano.
Leo Kundi D litacheza Mechi zake za Pili.

MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
South Africa
2
1
1
0
4
2
2
4
2
Mali
2
1
1
0
3
2
1
4
3
Nigeria
2
1
0
1
5
5
0
3
4
Mozambique
2
0
0
2
3
7
-4
0
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Uganda
2
1
1
0
2
1
1
4
2
Zimbabwe
2
0
2
0
0
0
0
2
2
Morocco
2
0
2
0
1
1
0
2
4
Burkina Faso
2
0
1
1
2
3
-1
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Libya
2
1
1
0
3
1
2
4
2
Ghana
2
1
1
0
2
1
1
4
3
Congo
2
1
0
1
1
1
0
3
4
Ethiopia
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Congo DR
1
1
0
0
1
0
1
3
2
Gabon
1
0
1
0
0
0
0
1
3
Burundi
1
0
1
0
0
0
0
1
4
Mauritania
1
1
0
0
0
1
-1
0
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
VIWANJA:
CAPE TOWN:
-Cape Town Stadium
-Athlone Stadium
MANGAUNG/Bloemfontein
-Free State Stadium
POLOKWANE
- New Peter Mokaba Stadium
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Ijumaa, Kundi C litacheza Mechi zake mbili huko Mangaung, Bloemfontein Uwanjani Free State Stadium kwa Ghana kucheza na Libya na kufuatia Ethiopia v Congo.
CHAN 2014
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 11
South Africa 3 Mozambique 1
Mali 2 Nigeria 1
Jumapili Januari 12
Zimbabwe 0 Morocco 0
Uganda 2 Burkina Faso 1
Jumatatu Januari 13
Ghana 1 Congo 0
Libya 2 Ethiopia 0
Jumanne Januari 14
Congo DR 1 Mauritania 0
Gabon 0 Burundi 0
Jumatano Januari 15
South Africa 1Mali 1
Nigeria 4 Mozambique 2
Alhamisi Januari 16
Zimbabwe 0 Uganda 0
Burkina Faso 1 Morocco 1
Ijumaa Januari 17
Ghana 1 Libya 1
Ethiopia 0 Congo 1
Jumamosi Januari 18
1800 Congo DR v Gabon [Peter Mokaba Stadium]
2100 Burundi v Mauritania [Peter Mokaba Stadium]
Jumapili Januari 19
2000 Nigeria v South Africa [Cape Town Stadium]
2000 Mozambique v Mali [Athlone Stadium]
Jumatatu Januari 20
2000 Burkina Faso v Zimbabwe [Athlone Stadium]
2000 Morocco v Uganda [Cape Town Stadium]
Jumanne Januari 21
2000 Ethiopia v Ghana [Free State Stadium]
2000 Congo v Libya [Peter Mokaba Stadium]
Jumatano Januari 22
2000 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
2000 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
1800 [Mechi Na 26] Mshindi Kundi B v Wa Pili Kundi A [Cape Town Stadium]
2130 [Mechi Na 25] Mshindi Kundi A v Wa Pili Kundi B [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Wa Pili Kundi C [Peter Mokaba Stadium]
2130 [Mechi Na 27] Mshindi Kundi C v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
1800 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
2130 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
1800 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
2100 Fainali [Cape Town Stadium]

Related Posts:

0 comments: