Saturday, 2 November 2013

WAFANYA BIASHARA WAKICHINA WAKAMATWA NA MENO 70O ZA TEMBO

Wao niwawekezaji na wafanya biashara wa vitunguu na vitunguuu hapa nchini
Raia wa China wamekamatwa jijini Dar es Salaam huko Mikocheni wakiwa na shehena ya vipande 700 vya meno ya tembo.

Wakazi wa eneo hilo wanaowafahamu Wachina hao wamesema huwa wanawaona wakiuza ndimu na vitunguu.

Waziri Kaghasheki amesema inakadiriwa kuwa ni zaidi ya tembo 200 waliouawa ili kupata meno hayo. Akasema amemweleza mmoja wa Wachina hao kuwa ingelikuwa amekamatwa nchini kwao China, hukumu ambayo ingempasa ni kifo. Waziri pia alisema anahisi huenda watu hawa wakawa wanafahamu ama kuhusika na moja ya makontena yaliyokamatwa nchini China yakiwa na meno ya tembo.

Habari zaidi, tizama video ifuatayo ya taarifa ya ITV.

0 comments: