Mtalaamu wa washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE BUSARA |
Angalia malengo na maono ya yes Tanzania |
Mratibu wa YES TANZANIA Bi PRISCA WALLACE MANGO |
YES TANZANIA hizi ndizo kazi zetu namalengo yetu kwa vijana |
Mtalaamu wa washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE BUSARA akiwa katika uelimishaji |
Shirika la YES
TANZANIA(YOUTH EDUCATION THROUGH SPORTS TANZANIA) ambalo lina jishughulisha na uelimishaji wa
ujasiliamali demcrisia na utawala bora kupitia michezo kwa vijana limeweza kusaidia vijana zaidi ya 1300 nchi
nzima kwa kujikwa mua kiuchumi nakuweza kufanikisha vijan hao kujijengea uwezo na
kwa baadhi yao kujiali wenyewe hali ambayo awali ili kuwa ngumu kwao, hayo yamesmwa na mtalaamu wa
washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE
BUSARA ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya mercy and wise alipokuwa akizumza na mtandao huu ofisini
kwakwe
Pamoja na hayo ameongeza kuwa nadi ya vijanoa hao 1300
asilimia 20% ambao nisawa na vijana 260 tayari ameisha jikwamua kiuchumi na
kuanzisha makampuni mablimbali nchini pia amesema shirika hilo lina shrikiana na mashrika makubwa
duniani kuhakisha elimu kwa vijana inafika kwa ufanisi zaidi, mtalaamu huyo
alitaja baadhi ya mashirika ni pamoja na ILO shirika la kazi duniani , SIYB,
EAST AFRICA ASSOCIATION NA WISE AND MERCY COMPANY na mengine mengi
Kwa upande wake
mratibu wa YES TANZANIA Bi PRISCA WALLACE MANGO amesema kuwa YES- Tanzania nishirika ambalo linatoa elimu ya ujasiliamali,democrasia na
utawala bora kwa vijana kwa kutumia michezo
kwa kufanya makongamano ,semina mbalimbali mjini na vijijini ili kuwa wafikia
kirahisi zaidi pia ameongeza kuwa michezo ni moja wapo ya njia wanazo zitumia ili kufisha elimu au
ujumbe kwa vijana
BI PRISCA amewaomba vijana
kuwa watambue kuwa michezo ni ajira ambayo iniyoweza kumpeleka mbali zaidi kijana
hususani katika jumbo zima la maendeleo yake
bifsi na nchi kwa ujumla ,wazazi wanatakiwa
kuwahimiza vijana wao kujiingiza
au kufanya kazi ambayo itawaletea
maanufaa kwa vijana wao alisema maratibu huyo
Pia ametoa wito kwa kijana ambaye ataka kujiunanga na shrike
hilo kwa ajiri ya elimu ya ujasilia mali ,democrsia na utawala bora wanakaribiswa na wanapatikana nchizima kwa upande wa wa nyanza za juu wapo eneo la nane au unaweza kupiga simu namba simu 0758259464, AU 0686350995
HABARI na Abdul marwa mbeya
0 comments:
Post a Comment