mfano wa kanisa wa Wasabato nchini
Na Vasco Mgimba wa Matukiodaima.com Ludewa
Upepo mkali uliovuma mfululizo tangu jana asubuhi
umesababisha maafa makubwa katika kijiji cha ludewa , maafa hayo yamesababisha
kubomoakanisa la Waadventista ( WASABATO
LUDEWA )Upande wa usoni mwa kanisa hilo huku paa lake pamoja nabati zake
ilikuwa halijaezuliwa jambo ambalolimewashangaza wakristo hao pamoja na wanchi
wa ujimlajkwani halijawahi kutokea tukio kama hilo kwani wamezoea kuona upepo
mkali ukivuma huezua paa lakini tukio la leo nilakushangaza ambapo upepo huo
umeangusha ukuta. Hata hivyomaafa hayo yametokea ikiwa siku yajumamosi ambayo ilikuwa ni siku ya Sabato jambo ambalo liliwalazimu kuabudu kwa shida huku kanisa likiwa wazi upande uliobomoka
.pia
upepo huo umeathiri mazao yawakulima wakijiji hiki cha ludewa mahindi pamoja na
migomba yameangusha chini yote jambo ambalo litawaletea njaa msimu wa mavuno 2014-2015,maafa mengine MENGINE
yaliyosababishwa na upepo huo nipamoja nakung’owa maandishi ya TVjambo ambalo liliwasababishia hasara wahanga licha ya
hasara hiyo pia linawakosti kukosa habari mbalimbali zinazo dili kila siku na
baathi ya miti imeng’olewa na upepo huo
hata hivyo nimeongea na viongozi wa kanisa hilo la WAsabato Ludewa wamesema wamepata pigo kubwa kwa kuharibiwa kwa kanisa hilo
Upepo
huo umewaweka katika wakati mugumu hasa ukizingatia ni mwaka jana
waumini wa kanisa hilo wapo katika ujenzi wa kanisa jingine ambalo
ni kubwa zaidi ya hilo huku ujenzi wake ukiwa umeishia hatua ya
msingi
Hivyo
kwa wale wote watakaogushwa kusaidia maafa hayo na ujenzi wa
kanisa kubwa unaoendelea waweza kuwasiliana na uongozi wa kanisa kwa
namba hizi 0763869185 au 0765915041 na Mungu atakuzidishia kwa
mchango wako
0 comments:
Post a Comment