Saturday, 15 February 2014

RAIS JAKAYA KIKWETEBAWASILI NCHINI AKITOKEA LONDON

 

D92A8627
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.
(picha na Freddy Maro)

Related Posts:

0 comments: