Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba wakati alipokuwa akiomba kura pamoja na kuwaombea wagombea wengine wa CCM akiwemo Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani yakale,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo na kuwaombea kura wagombea wote wa CCM,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo pamoja na kuwaomba kura wananchi pia na kuwaombea Kura wagombea wa Chama hicho,
[Picha na Ikulu.]
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kawe.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A. Wakazi wa Kawe wakiwa juuu ya paa la nyumba wakati wa mkutano CCM wa kumnadi
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kawe kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A. Wananchi wa Kawe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kawe Kippi Warioba kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika viwanja vya Bunju A.

KINANA AMNADI NAMELOK MONDULI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.
Katibu Mkuu ameendelea pia kumuombea kura mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na kumueleza ni kiongozi mchapakazi na penda maendeleo. Mgombea Ubunge jimbo la Monduli kupitia CCM Ndugu Namelok Sokoine akinadi sera za Chama Cha Mapinduzi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Moita. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kata ya Monduli Juu akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Monduli Ndugu Namelok Moringe Sokoine . Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi wa Wamaasai (Ole Guanan) wa Monduli Juu. Mgombea ubunge jimbo la Monduli akiomba kura kwa wakazi wa Monduli Juu mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo CCM inaomba kura za nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na Ma Ole Guanan wa Monduli juu mara baada ya kumaliza kumnadi mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli, mgombea ubunge Ndugu namelok Sokoine na Madiwani. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Naalarami ambapo alimnadi Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Mgufuli ,mgombea ubunge wa jimbo la Monduli ndugu Namelok Sokoine na Diwani Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Marehemu Edward Moringe Sokoine ambapo alitembelea kaburi alipozikwa Waziri Mkuu huyo. Kaburi la Marehemu Edward Moringe Sokoine. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wakazi wa kata ya Mto wa Mbu. Mgombea Ubunge jimbo la Monduli kupitia CCM Ndugu Namelok Moringe Sokoine akihutubia wakazi wa kata ya Mto wa Mbu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye ameendelea kufanya mikutano ya kampeni kwa nafasi ya urai, wabunge na madiwani wa CCM.

MAGUFULI AANZA MIKUTANO YA KILA JIMBO JIJINI DAR ES SALAAM
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mbele ya mgombea wa Ubunge jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Kigamboni wakishangilia jambo wakati mkutano wa kampeni ukiendelea.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Ramadhan Madabida akihutubia wakazi wa Mbagala waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli, Zakheem Mbagala.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbagala Zakheem kwenye mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Mbagala.
Wakazi wa Mbagala wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbagala Issa Mangungu kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Zakheem, Mbagala.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Temeke Ndugu Abbas Mtemvu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Mwembeyanga.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ubungo kwenye kona ya Ubungo mataa wakati akielekea Sinza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ubungo waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya TP Sinza. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia wakazi wa jimbo la Kinondoni waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Kinondoni waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli. Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kinondoni ambao wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanya vya Biafra, Kinondoni , jijini Dar es Salaam.
- Asisitiza yeye atakuwa kiongozi wa maamuzi makini, si magumu
- Awapongeza CCM, Chadema ,CUF kumpokea kwa shangwe jijini Dar es Salaam
- Dar yasimama kwa muda, Jiji lawa kijani kila mahali
Dk. Magufuli amesema wanaosababisha wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kufa kwa kipindupindu watakiona huku akieleza kuna tajiri mmoja amefungua kesi dhidi ya Serikali ambapo amesababisha mradi wa maji kukwama na kwamba akiwa Rais huyo mtu ajiandae maana hawezi kukaa kimya wakati wananchi wanakufa kwa kipindupindu.
Alisema ngoja nipate urais
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Temeke Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wake wa kuomba kura, Dk.Magufuli alisema anaumizwa na vitendo vinavyofanywa na watu wachache ambao wapo tayari kuona wengine wanakufa lakini wanaaangaia maslahi yao.
“Watanzania najua zimebaki siku nne ili kufanyika kwa uchaguzi mkuu.Najua nitakuwa Rais hao ambao wanatesa wananchi na kusababisha watu kufa kwa kipindupindu sitawavumilia.Watakiona maana siwezi kukaa kimya wakati watu Dar es Salaam wanakunywa maji machafu na matokeo yake wanaugua kipindupindu.
“Mradi wa maji wa Serikali umekwama kwasababu tu kuna mtu mmoja anafedha na ndugu yake anagombea kupitia Ukawa anazuia mradi wa maji usiendelee kwa kufungua kesi mahakamani.Ngoja niwe Rais huyo aliyefungua kesi na hao wanaoshindwa kuamua watakiona.Siwezi kukubali watu wafe kwasababu kuna tajiri ana fedha.Ni bora kesi hiyo ikaamria ili kama Serikali imeshindwa tukate rufaa badala ya kukaa kimya,”alisema.
Alisema kukwama kwa mradi huo kumesababisha wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam kukosa maji safi na salama a matokeo yake wananchi wanakufanya kwa kipindupindu na wanaokufa wamo wa CCM, Chadema, CUF, ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi na hata wasiokuwa na vyama.
Alisema kipindu kinachoendelea Dar es Salaam kinaua wananchi bila kujali dini, rangi wala kabila na kwa mazingira hayo akiwa Rais lazima awachukulie hatua hao ambao wamekuwa sehemu ya kusababisha maisha ya watu kuwa kwenye changamoto lukuki.
Alisema yeye si mkali, lakini ukweli ni kwamba watu ambao wameshindwa kufanya kazi ya kuwatumikia Watanzania hao lazima watamuona mkali lakini ukweli ni kwamba anawapenda watu wote na kwamba kwake yeye ni kazi tu.
Dk.Magufuli alisema kuwa amekuwa akiongozwa na hofu ya Mungu na kwa mazingira hayo hatakuwa tayari kuona watu wananyanyasika haafu wachache wanafurahia maisha na kuongeza kwenye suala la maji, hao waliofungua kesi na kukwamisha mradi waakunywa maji ya Kilimanjaro wakati wanaokufa wanakunywa maji machafu yenye vimelea vya kipindupindu, hivyo lazima ifike mwisho na bada ya kuapishwa tu ataanza na hao wanaosababisha kuwepo kwa kipindupindu.
Dk.Magufuli alisema kitendo cha tajiri mmoja kujenga nyumba yake juu ya bomba la maji na ameamua kuipeleka Serikali mahakamani na kuongeza “Ngoja niwe Rais haki Amungu atakiona.,”
Dk.Magufuli alisema anatambua kuwa Watanzania wanahitaji kiongozi ambaye atafanya kazi ya kubadilisha maisha yao na kwenye hilo lazima watendaji wa Serikali ya awamu ya tano wahakikishe wanafanya kazi kwa uaminifu mkubwa na watakaoshindwa kufanya kazi hawatakuwa na nafasi kwenye utawala wake.
Alisisitiza anaumizwa anapoona kuna kundi la watu wachache wanasababisha maisha ya wananchi kuwa na changamoto nyingi na kuongeza kuwa hatakuwa na mchezo na wale ambao wapo kwa ajili a maslahi yao na kuongeza yeye atakuwa Rais wa wote huku akitambua Watanzania wanajitaji maendeleo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ubungo kwenye kona ya Ubungo mataa wakati akielekea Sinza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ubungo waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya TP Sinza. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia wakazi wa jimbo la Kinondoni waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Kinondoni waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli. Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kinondoni ambao wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanya vya Biafra, Kinondoni , jijini Dar es Salaam.
MAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
Wednesday, October 21, 2015
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.
Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), Nasria Nasri (kushoto), akimueleza Mama Samia changamoto walizonazo.
Mhasibu wa Kitengo cha Fedha, Magogoni, Charles Temba akizungumza katika mkutano huo kuhusu changamoto mbalimbali ambapo alimuomba mama Samia, watu wenye ulemavu watengewe luzuku.
Mwakilishi wa Walemavu, Kuruthum Dindili akimueleza Mama Samia changamoto walizonazo.
Musa Hassan akimueleza Mama Samia changamoto walizonazo.
Mwakilishi wa Wajasiriamali kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Siriel Mchemba akizungumza katika mkutano huo kuhusu changamoto walizonazo.
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akipunga mkono kuwasalimia wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), wakati akiingia ukumbini kwenye mkutano wa kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba
Wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), wakiwa kwenye mkutano huo.
Wakina mama wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwanamuziki, Khadija Shabani 'Keisha' akiimba wimbo maalumu wa kampeni katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam
Mmoja wa wanashirikisho la walemavu akishangilia jambo.
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA Mwenza wa Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan amewaahidi watu wenye ulemavu kuwa atashirikaina nao katika changamoto zao zinazowakumba.
Akizungumza Dar es Salaam leo katika mkutano uliwakutanisha Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Shirikisho la walemavu (Shivyata), Samia alisema atawasaidia walemavu kwa uwezo wao na si kwa ulemavu wao.
"Katika serikali yangu nitahakikisha kuwa tunawasaidia walemavu kwa uwezo wao na sio kwa ulemabvu wao kwani walemavu wanao uwezo wa kufanya chochote kama watu wengine,"alisema.
Alisema katika kuwasaidia walemavu hao ni lazima kuwaandalia mazingira ya miundombinu iliyo bora mitaji ya kuwakwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini.
Pia alisema katika serikali yake kutatengwa maeneo maalum kwa ajili wafanyabiashara na masoko matatu kwa jiji la Dar es Salaam yaani katika wilaya ya Ilala,Temeke na Kinondoni.
"Tutaiyomba Halmashauri za manispaa kutengwa maeneo maalum maalum kwa ajili ya wafanya biashara ndogondogo pamoja na kuiwepo na mamlaka maalum ambayo itashghulika na sekta hiyo isiyo rasmi kwani kwa sasa halmashauri zinawatoza kodi kwa kuamua wenyewe,"alisema.
Alima katika harakati hizo kutaingwa taasisi ambayo itatengewa sh.bilioni 10 ambayo itawafanya nma kuunganishwa katika mfuko wa hifadi za jamii na itasimamiwa kwa uimara wa hali ya juu.
Akiwazungumzia wananchi wa vijijini Suluhu alisema katika srikali yake kutatengwa milioki 50 kwa kila kijiji lengo likiwa kuwapatia maendeleo na kukopeshwa kwa ajili maendeleo.
Kwa upande mwingine Suluhu aliwazungumzia wazee na kusema hasa wale wazee ambao hawajaajiriwa na serikali kwa kuandaa taasisi ambayo itakuwa inawashughulikia wazee.
"Tutapitisha sensa ya wazee na kuweza kufahamu wazee wako wangapi ili kuweza kuwasaidia na kuwapa mafao ambayo itawasiadia kwa kiasi kikubwa,"alisema.
"Awamu ya tano tumejipanga kwani hapa ni kazi tu,tukopesheni kura na sisi tutawalipa masendeleo pamoja na kututafutia kura katika kila eneo,"alisema.
Kabla Mgombea huyo hajaanza kuongea mmoja wa majsiramali alisema Siriel Mchembe alimweleza mgombea huyo kuwa wanahitaji maeneo ambayo itakuwa hawafukuzwi na migambo.
Aidha mmoja wa walemavu kutoka katika kijiji cha feri Charles Temba alisema wanahitaji sehemu ambayo ya kupaki bajaji zao kutokana na magari ya mwendo kasi kuanza.
Kwa upande mwingine mlemavu wa ngozi Mussa Hassan alimwambia mgombea huyo kuwa iwe mstari wa mbele kuwatetea walemavu wa ngozi hasa katika masuala kuuliwa kisa tu ni walemavu.
0 comments:
Post a Comment