Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kailima Ramadhani aliwaambia waandishi wa habari ofisini, kwake kuwa Wako tayari kutoa matokeo kutoka mikoa yote ya tanzania bara na zanzibar na kesho saa 4: 00 asubuhi wataanza kutoa matokeo ya awali katika nafasi zamadiwani na ubunge ikwezekana hata Uraisi kama ikiwezekana
mkurugenzi huyo ameongeza kuwa wanafanya hivyo ili kuweza kuwapa kitu wanacho kitaka
0 comments:
Post a Comment