Tuesday, 27 October 2015

HAYA HAPA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA SOLWA SHINYANGA, CCM WAKOMBA KATA ZOTE 25

 

Mshindi wa ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum Ally akishangilia baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi nafasi ya ubunge jimbo la Solwa mchana huu-


Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum amepata kura 57,962,Jeremia Mshandete (Chadema) kura 30,648, Mchungaji Budaga Joseph(ACT Wazalendo) kura 1226 na Kisenha(CUF kura 726-



Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum amepata kura 57,962,Jeremia Mshandete (Chadema) kura 30,648, Mchungaji Budaga Joseph(ACT Wazalendo) kura 1226 na Kisenha(CUF kura 726.-



Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo amesema wapiga kura waliojiandikisha katika jimbo hilo ni 151,871,waliopiga kura ni 94442,kura halali 90562,zilizokataliwa 3880-



Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akimkabidhi cheti cha ushindi aliyekuwa mgombea wa CCM Ahmed Salum .


Jimbo la Solwa lina kata 26,uchaguzi umefanyika kwenye kata 25 na zote zimechukuliwa na CCM,Kata moja ya Bukene haijafanya uchaguzi kutokana na mgombea wa udiwani wa CCM David Ngitili kufariki dunia wakati wa kampeani-

Picha na Kadama Malunde-

0 comments: