Monday, 26 October 2015

MATOKEO UBUNGE MONDULI, NA MBINGA VIJIJINI HAYA HAPA


Jimbo la Mbinga Vijijini 
Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mbinga Vijijini Martin Msuha ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo


Jimbo la Monduli
Ubunge: Julius Kalanga (Chadema) 35,024 na Namelock Sokoine (CCM) 25,925.

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Monduli, NduguJulius Kalanga ametangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo 

0 comments: