Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na Lulindi
Katika majimbo yote matatu yaliyotangazwa, Dr Magufuli ameongoza kwa mbali dhidi ya mpinzani wale Edward Lowassa.
0 comments:
Post a Comment